Pascal Haonga: CCM ni adui wa kila mtu. Wamemuweka Lissu ndani. Hawashauriki

Pascal Haonga: CCM ni adui wa kila mtu. Wamemuweka Lissu ndani. Hawashauriki

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079


"Chama cha Mapinduzi ni adui wa kila mtu. Mwalimu Nyerere alikuwa anapambana na maadui wangapi? Watatu, sindio? Ujinga, maradhi, na nani? Na umaskini.

Leo Chama cha Mapinduzi ni adui namba nne. Chama cha Mapinduzi. Ni adui wa wakulima, ni adui wa wafanyabiashara, ni adui wa maaskari ambao pia kikokotoo kikiwapiga vibaya mosi, sindio? Ni adui wa kila mtu Chama cha Mapinduzi, sindio ndugu zangu?

Leo tunalalamika Lissu yuko ndani kwa sababu adui huyu namba nne aliyeongezeka, ambaye ni Chama cha Mapinduzi- Amesema Pascal Haonga Kada wa CHADEMA Jimbo la Mbozi
 
Hata uislamu una laani mwanamke kuwa kiongozi wanajua athari zake

Ila wamekaa kimya ka mbwa koko kila anayetanua kinywa anapachikwa pande la nyama

Uislamu ni Uzoba period
 
Back
Top Bottom