UAMUZI WA MWISHO WA KUTENGUA UTEUZI WA MADIWANI ULIOFANYWA WA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI UTASABABISHA UCHAGUZI WA MADIWANI KUTENGULIWA NA MAHAKAMA.
Karibu maamuzi yote ya Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi (Assistant Returning Officers) kutengua uteuzi wa wagombea udiwani wa vyama vya siasa...
Pascal Mayalla anaweza gombea kupitia CCM? i bet so. Ndo chama pekee ambacho mtu ambaye atateuliwa kugombea kupitia chama hicho atapata Ubunge. Na hili ndilo jambo ambalo limewafanya wengi wachukue form sababu uhakika upo.
Nmeshangaa kidogo suala hilo lakini nkakumbuka kuwa pasko mayala naye ni...
Mzee Mayalla, RSO, RPC, DSO na OCD wa Mwanza wote walistaafishwa kwa manufaa ya umma, walihamishwa usiku usiku na kurudishwa kijijini (detention fulani za Nyerere).
Wakati yote haya yakifanyika, bwana Pascal Mayalla alikuwa mdogo sana, hakujua hili wala lile, hadi ilipoanza kuunguruma, Kesi ya...
Kwanza kabisa naomba nianze kwa kudeclare “interest" kwenye suala ya Covid-19. Mimi ni mtafiti kwenye utengenezaji wa madawa haswa kwa kutumia "Computer Aided Drug Design (CADD)". Tangu janga hili la Covid-19 lianze, tumejikita kwenye kutafuta dawa itakayoweza kutibu Covid-19 kama ilivyo kwa...
TAMKO KUHUSU UKIUKWAJI WA KATIBA YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ULIOFANYWA NA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Ndugu Waandishi wa Habari,
Awali ya yote niwashukuru na kuwapongeza kwa kazi kubwa mnayoifanya hasa wakati huu ambapo dunia inaendelea kupambana na janga la...
Utangulizi
Ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na virusi vya Corona umevamia kila nchi duniani na kila nchi imeamua namna yake ya kupambana nao
Kwa sasa kuna namna kuu mbili zilizoko duniani ni kupunguza maambukizi (flattening the curve) na Kinga ya pamoja au ya jamii (Herd immunity). Kila...
Wajumbe wa kikao aka mkutano, habari zenu na poleni na majukumu.
Leo nimekuja na agenda hiyo juu kuhusu utapeli wa kimtandao na wa rejareja wakati maisha yakiwa magumu huku kuna watanzania wenzetu wanapiga hela kwa wenzao kwa kutumia uongo uliokaribu na ukweli. Kuna utapeli wa wa aina nyingi...
Ndugu yangu Pascal wa jf ninaomba nafasi ya kuonana na wewe. Nilianza kujifunza kuandika makala mwaka 2014 baada ya kuwa msomaji wa muda mrefu humu. Lakini nimekuwa impressed sana na uchambuzi wa Pascal ambaye ninatamani siku moja nionane naye ili niweze kumuuliza maswali kadhaa nami niweze...
Ujumbe kutoka kwa Baba Askofu Dr Benson Bagonza PhD..
HONGERA CHADEMA, lakini...
Nawapongeza wana Chadema kwa kumaliza uchaguzi. Nawapongeza viongozi wote walioshiriki, wakashindwa na kushinda. Mlichokozwa, hamkuchokozeka. Waleteeni watanzania fikra mpya, hoja mpya na siyo Tanzania mpya...
Watu waliomjua Pascal Kupitia JF pekee poleni sana. Huyu jamaa hanijui lakini Mimi namjua sana.
Watanzania wengi twamjua sana, EAC wengi wanamjua sana ingawa yeye anawajua kwa kuwaona watu wachache sana lakini mamilioni ya watu tunamjua.
Kwa sababu gani?
Kwa sababu ni mtu mtangazaji marufu...
Mashine ya Kutengeneza na Kukausha Chaki za Shuleni ON SALE Tsh 30mil (Milioni 30)
Karibu tufanye biashara. Call 0767 235923.
Sifa za Mashine ya Kutengeneza Chaki:
Inatumia Umeme wa Single Phase;
Ni Semi-Automatic: Inatumia Motor kuchanganya Unga wa CHaki na Maji;
Ina Moulds (vinu) 6 za...
Wanabodi umofia kwenu
Nianze kwa kumpa pole na hongera Mh. Rais Magufuli kazi njema anazofanya kila siku,
Hoja yangu ni alipokuwa anaingia Madarakani alipiga marufuku mikutano ya kisiasa na kusema tufanye kazi siasa itakuwa kipindi cha uchaguzi.
Sasa tupo katika kipindi hiki cha uchaguzi...
WAJUMBE SALAAM!
Hivi karibuni kumejitokeza matukio ya utovu wa nidhamu mashuleni na adhabu mashuleni.
Nianze na utovu. Miaka ya leo wanafunzi wameshuka kinidhamu sana. Yapo matukio ya walimu kupigwa, kutukanwa, kukejeliwa na mwalimu anapochukua hatua stahiki wanafunzi huja juu kwa kumtishia...
Mwaka jana madai ya uchaga yaliibuliwa na gazeti la JAMVI LA HABARI likisema maaskofu wa kanisa katoliki huteuliwa kwa kufuata uchaga. Madai hayo haya hapa (bonyeza hapa)
Mtakumbuka madai haya yaliingia hadi bungeni gazeti hili kujadiliwa.
Jumatano iliyopita ina makala moja ya RAIA MWEMA...
wakuu wanabodi nawasalimu.
umepita muda kidogo sijashiriki mjadala humu lakini yote yako powa kabisa na sijatekwa kama wangine walivyodhani. tuko bize na safari ya kuhamia dodoma.
miezi kama 6 hivi imepita niliandika mada kuhusu ujenzi wa #MfumoMagufuli au #MfumoJiwe. mada iko kwenye uzi huu...
November 09, 2018
Staff Writers, Africa Analysis, New York
A senior economist within the World Bank system has clarified that the Bank's travel advisory note to its members composing a mission that was supposed to visit Tanzania this time around pending “security assessment” is a normal...
Kwako Mh. Rais John Pombe Magufuli
Leo kwa mara ya kwanza toka nijiunge na JF nimeamua kuweka mada kwenye hii forum. Ni kwa ajili yako mkuu.
Nimeshawishika kuweka mada hii maalum kwa ajili yako hasa baada ya leo kuingia humu Jamii Forum na kukuta mada nyingi (posts)zisizopungua kumi (10)...
Jumamosi April 15 mwaka huu umoja wa kizazi cha kuhoji nchini (UTG) ulifanya mkutano na waandishi wa habari kuelezea juu ya matukio mbalimbali ya watu kupotea, kutekwa na wengine kuuawa. Katika mkutano huo tulieleza baadhi ya hatua tulizochukua kuhusu hali hii ya kuogofya inayoendelea nchini kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.