unasafisha pasi ikiwa na moto mkali
1. Chumvi - mwagia kwenye kitambaa anza kuipasi
2. Chaki - kata kipande, geuza pasi iangalie juu kisha weka kipande, unasafisha kwa kukandamizia chaki kwa kitambaa.
3.majivu ya moto - mwagia kwenye kitambaa anza kuipasi
4. mkaa - kata vipande, mwagia...