pato la mtanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pato la wastani kila Mtanzania wafikia TSh 3.05 milioni kwa mwaka

    Katika kipindi cha utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), pato la wastani la kila mtu nchini limeendelea kuongezeka kutoka shilingi 2,653,790 mwaka 2020 hadi shilingi 3,055,606 mwaka 2023. Hayo yameelezwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, jijini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…