pato la mtanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Napingana na Takwimu za Kila Mkumbo kuwa wastani wa pato la Mtanzania ni Mil 3.5

    Napinga kwa sababu moja kubwa uhalisia wa maisha ya Watanzania na anachokisema huyu kada wa CCM ambae amerithi uCCM toka kwa wazazi wake ambao walikuwa watumishi wa CCM ni uongo mtupu. Fikiria tunaona kwa macho yetu familia nyingi za Watanzania ambao hawana hata uwezo wa kupata milo miwili...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Mwaka 2050 Pato la Mtanzania litakuwa Dola 7,000 (Milioni 18.2) kwa mwaka

    Wakuu, Suala la pato la mtanzania pia limetajwa kwenye dira ya Taifa ambapo kufikia 2050 linatarajiwa kuwa Dola 7000 kwa mwaka
  3. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia Yaweka mikakati na Mipango ya Kuhakikisha kila Mtazania anakuwa na Pato la Millioni Moja na Laki Tano Kwa Mwezi

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia anataka kuwafanya na kuwawezesha watanzania wote Waishi Maisha mazuri na ya heshima na staha Utafikiri wapo Washington au New York City Marekani ,au Amsterdam Uholanzi au London uingereza au Dubai au Paris Ufaransa au Berlin Ujerumani au Genneva Uswiswi,Roma...
  4. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania CCM mnachukia nini tukisema hii Tsh. Trilioni 107 ni Deni la Mama

    Tangu tuanze siasa za uchawa nchini, kila kitu kinachonasibiwa ni cha kimaendeleo kinaitwa cha mama. Sasa kwanini wanaCCM wanakunja ndita tukisema hili ni deni la mama?
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Pato la wastani kila Mtanzania wafikia TSh 3.05 milioni kwa mwaka

    Katika kipindi cha utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), pato la wastani la kila mtu nchini limeendelea kuongezeka kutoka shilingi 2,653,790 mwaka 2020 hadi shilingi 3,055,606 mwaka 2023. Hayo yameelezwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, jijini...
Back
Top Bottom