Prof. Kitila: Mwaka 2050 Pato la Mtanzania litakuwa Dola 7,000 (Milioni 18.2) kwa mwaka

Prof. Kitila: Mwaka 2050 Pato la Mtanzania litakuwa Dola 7,000 (Milioni 18.2) kwa mwaka

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Suala la pato la mtanzania pia limetajwa kwenye dira ya Taifa ambapo kufikia 2050 linatarajiwa kuwa Dola 7000 kwa mwaka

 
Tuwekeeni PDF moja...
Post zinakuwa nyingi
 
Wakuu,

Suala la pato la mtanzania pia limetajwa kwenye dira ya Taifa ambapo kufikia 2050 linatarajiwa kuwa Dola 7000 kwa mwaka

Ok kipindi hiko $1 itakua ni 12000/=
Kitila Mkumbo anafanana na watoto wanaowalumu baba zao kutonunua viwanja kariakoo kipindi hiko kiwanja kimoja kikiuzwa shilingi 3000
 
SHABAHA ZA DIRA 2050

PATO LA TAIFA NA PATO LA MTU MMOJA👇🏽

Tanzania kuwa na Pato la Taifa lenye thamani ya $1 Trilioni au TZS 2.6 Quadrilioni na wastani wa Pato la mtu mmoja lenye thamani ya $7M kwa mwaka.

Kwa thamani ya leo, $7M sawa na TZS 18.2M kwa mwaka au TZS 1.52M kwa mwezi sawa na TZS 50,556 kwa siku, kutoka $1,277 kwa mwaka sawa na TZS 3,320 kwa mwaka, TZS 276,688 kwa mwezi au TZS 9,233 kwa siku kwa sasa.

OKTOBA 2025 NI DIRA YA 2050
Watanzania OKTOBA Tunatik ✅



PATO-LA-TAIFA-NA-PATO-LA-MTU-MMOJA.png
 
Back
Top Bottom