Kalamu Nzito
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 376
- 850
Tangu tuanze siasa za uchawa nchini, kila kitu kinachonasibiwa ni cha kimaendeleo kinaitwa cha mama. Sasa kwanini wanaCCM wanakunja ndita tukisema hili ni deni la mama?
Hahahaha😂😂😂Tangu tuanze siasa za uchawa nchini, kila kitu kinachonasibiwa ni cha kimaendeleo kinaitwa cha mama. Sasa kwanini wanaCCM wanakunja ndita tukisema hili ni deni la mama?
kuna haka ka msemo ka madelu kana nikera sana eti deni la taifa ni himilivuWanachukia coz truth hurts, hii Trilioni 107 ni legacy ya ufisadi na uzembe.
Fedha si za mama na deni ni la mamaNi deni la Watanzania
Deni la mama, haiwezekan mazuri yake , mengine si yake hapanaNi deni la Watanzania
Sawa ni deni la Mama, then what!Sina mengi hizi Trillion 107 ni deni la Mama SI la Taifa. Kwasababu Miradi yote ya maendeleo mlisema mama katoa. Iweje Leo mtuambie ni deni la Taifa?
Sawa msizijue na msizilipe. Atazilipa Mama, ana pochi neneYes, Hizo adaiwe yeye sisi hatuzijui.