antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Yap,Wakitoa pesa za Miradi" Mama katoa" ikifika kwenye deni utasikia deni la Taifa. No plz, Tafadhali 107Tr. ni deni la Mama .
Tena inafaa hilo deni ligawiwe kabisa kwa Tanganyika na Zanzibar kwa uwiano ule ule wanaogawa mikopo kwa hizo nchi mbili. Vinginevyo Zanzibar itaneemeka zaidi halafu mlipaji itakuwa Tanganyika pekee