Ukweli usiofichika ni kwamba Yanga na Simba zimekua kubwa na zenye nguvu kuliko mamlaka za soka nchini.
Wasimamizi wa soka letu wako tayari kuzibeba hizi timu ili kuwafurahisha watu kuliko kutenda haki.
Kadri muda unavyosonga, ligi inayoitwa ya nne kwa ubora barani Afrika inazidi kuwa ligi ya...
Haijajulikana amefuata nini.
Ila watu wachawi sana,mmemsagia kunguni mwenzenu kuwa hafiki pasaka na hajafika kweli ilaCV yake imeboreahwa
Soma Pia: Kocha Saed Ramovic aaga wachezaji rasmi
Kijana Frank Patrick (Mchekeshaji wa Mtandaoni) maarufu Kama Molingo (17) Mkazi wa Wilaya ya Chato Mkoani Geita amefariki dunia usiku wa kuamkia leo December 10,2024 akiwa nyumbani kwao Chato ambako alikuwa akiuguzwa na Mama yake mzazi.
Rafiki yake ambaye alikuwa akiishi nae na kumrekodi...
Wameyatimba,
Walimpa mkataba usiku usiku Moalin wa KMC na kuwa mkurugenzi wa ufundi, wakampa mkataba Said Ramo kuwakocha mkuu ,ndani ya muda mfupi Auasems au Uchebe anatimuliwa Singida Big Stars.
Waneanza mazungumzo nae,si ajabu mmoja wao akavunjiwa mkataba as soon as possible kumpisha uchebe
Jipatie simulizi za kijasusi
Ambola
Mwamba
The last chapter
Scandal
The football
Peniela
Queen monika
Miss tanzania
Capture or mission
Kiapo cha jasusi
Kikosi cha siri
Dear mathew mulumbi
BY Patrick c.k kwa mfumo wa soft copy PDF mwanzo mpaka mwisho kwa bei nafuu TSH 1500 WhatsApp 0658068872
Patrick Nyembera ni mmoja kati ya wachambuzi wa michezo nchini ambaye anafanya kazi hiyo Azam Media. Na mara zote amekuwa ni Commentator wa masumbwi ambayo kwa Azam wanaita Vitasa. Katika mapambano mengi huwa wanakuwa na watu wengine kwenye kuelezea michezo hiyo na kuwapa radha watazamaji...
PATRICK MWALUNENGE (MWENYEKITI WA CCM MBEYA) ATINGA SITE NA VIPIMO, KUTATUA MGOGORO WA FIDIA UJENZI WA BARABARA NJIA NNE
Mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi CCM Mkoa wa Mbeya amefika eneo la takio na vipimo baada ya Wananchi wa kata za Nzovwe na Mabatini Mkoani himo kulalamika kitendo Cha...
Wananchi huyu shabiki wa Simba aitwae Patrick Nyembera anaefanya kazi Azam media amekuwa akitumia nafasi yake pale Azam kuihujumu Yanga.
Popote utapomuona huyu kolo mwambie kaa mbali na Yanga ikibidi tumia ile kauli mbiu sisi tuna watu.
Pamoja na kuwa Paul Kagame kutokuwa na rafiki wa kudumu muda wote lkn Nyamvumba anawekwa kundi moja na Kabarebe kama marafiki wa muda mrefu na Kagame. Nyamvumba anatajwa kama rafiki wa Kagame toka enzi za NRA Kampala.
Former army chief and Minister of Internal Security Gen Patrick Nyamvumba...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mwamba Freeman Mbowe, atahutubia Taifa la Tanzania kupitia Mkutano wake na Waandishi wa Habari utakaofanyika kwenye Makao Makuu ya Chama hicho, Kinondoni Dar es Salaam.
Mkutano huo uliobeba Mustakabhali wa nchi na Dira ya Taifa...
Jipatie simulizi za kijasusi 《The last chapter Ukurasa wa mwisho》《Mwamba》《Scandal kashfa》《Ambola》BY Patrick c.k kwa mfumo wa soft copy PDF mwanzo mpaka mwisho kwa bei nafuu TSH 2000 WhatsApp 0685188006
Hakika Siku zote Wakatoliki ndiyo huwa tunaanza kwa Kuonyesha njia na wengine Wanaiga.
Leo kama Kawaida nikiwa Ibadani Morogoro katika Kanisa langu Kuu la Katoliki la Mtakatifu Patrick ( Patrice ) nimeweza kufurahishwa tena na aina ya Ubunifu na Utaratibu wa Kiimani na Kiibada.
Ni kwamba mara...
Mwanamuziki wa zamani Patrick Balisidia alizaliwa mwaka 1946, mwaka uliofuata yaani 1947 alizaliwa dada yake aliyepewa jina la Ndyanao.
Patrick na Ndyanao walielewana sana na walikua kama mapacha. Siku ya harusi ya Ndyanao, kaka yake Patrick alimuimbia mwimbo wa harusi ambao wengi mnaufahamu...
Kama wote tunavyofahamu, Marekani ilikaliwa/Ilitawaliwa na Uingereza kwa zaidi ya miaka 150 (1510-1776) baadaye Kizazi cha 3 kilianza kupigania Uhuru wao dhidi ya babu zao. Kijana mmoja aitwaye Henry Patrick 1775 aliandika andiko akisema Nipe Uhuru au unipe Kifo/uniue" Alikuwa anawaandikia...
Hili Kocha Paulsen sijui lina nini Kichwani. Halafu amemtoa tena Mshambuliaji mahiri Tanzania nzima John Boko na Kumuingiza Mshamba Lusajo.
Kudadeki bora tufungwe tu Benin na kuanzia sasa nashangilia Benin. Mtu kama Feisal Salum ( Fei Toto ) anaharibu na Kurukaruka tu lakini hatolewi...
Kuhusu Ujio wa Cedrick Kazelona.
Kuna maoni na mtazamo wa kiduwanzi sana baada ya kuona Prof Nabi anapata Msaidizi mwenye viwango vya juu kabisa vya CAF. Ni watu ambao juzi juzi tu kocha wao mkuu alipokea barua kutoka CAF kuwa anatakiwa kurudi MEMKWA akatafute cheti.
Cha kushangaza zaidi...
Hii ndio taarifa ya sasa kutoka Dar es Salaam, kwa sasa Mwendo ni ule ule wa kuhakikisha Haki za kisiasa za CCM kujibu hoja za wapinzani zinaporwa na Jeshi la polisi , ambalo sasa ni dhahiri limechukua sehemu ya CCM kwenye siasa za Tanzania , hasa baada ya CCM yenyewe kuishiwa hoja za utetezi...