patrick

  1. Nduka Original

    Pendekezo: Eng. Kakoko amrithi Patrick Mfugale

    Ukiacha sababu za kisiasa mimi naona Eng. Kakoko aliyekuwa Director General wa Tanzania Ports Authority angetosha kabisa kubeba mikoba ya Eng. Mfugale. Eng. Kakoko kabla yakuteuliwa kuwa DG wa TPA alikuwa Regional Manager wa TanRoads Arusha na baadae JPM alimuhamishia Wizarani yeye akiwa Waziri...
  2. GENTAMYCINE

    Wakala wa Meddie Kagere, Mnyarwanda Patrick Gakumba atoa siri nzito za Kocha wa Simba SC Didier Gomez Da Rosa

    "Huyu Kocha nimejuana nae Siku nyingi hata kabla ya kuja hapo Simba SC. Anafanya mambo ambayo najua yatakuja Kumrudia na ataumbuka kwani hata Mwenyezi Mungu anayaona na atamuadhibu. Ana Chuki Binafsi na Mimi kwakuwa nilikataa Kumpigia Chapuo kwa Ushawishi wangu mkubwa katika Soka la hapa nchini...
  3. Analogia Malenga

    TANZIA Patrick Kisembo afariki dunia

    PATRICK KISEMBO amefariki dunia Februari 8, 2021 katika Hospitali ya rufaa ya Kibaha. Kisambo amefanya kazi na vyombo kadhaa ikiwemo, The Citizen, The guardian hadi kufikia kuwa Mhariri. === In loving memory of our beloved Comrade, Friend and Colleague Patrick Kisembo. We Admins of this...
  4. LIKUD

    Patrick Ausems huyo Jangwani

    Za chini chini zinasema kuwa aliekuwa kocha wa Simba, Bwana Patrick Ausems yupo katika mazungumzo na Dar Es Salaam Young Africans kwa ajili ya kui-coach timu hiyo inayopendwa sana katika ukanda wa nchi zote za Afrika ya Mashariki, Kusini na Kati na nchi zote zinazo patikana katika upande wa...
  5. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Patrick Asenga Mbunge ajaye wa Rombo

    Huyu kamanda alikuwa diwani wa Tabata , ni mtu shupavu asiyekubali kuburuzwa kibwege , baada ya kutambua hilo wanachadema wa Rombo wamempitisha kugombea ubunge ili kuziba pengo la msaliti Selasini . Duru za wenyeji zinaonyesha kwamba hakuna wa kumzuia kuchukua jimbo hilo . Mungu ibariki Chadema
  6. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Diwani wa Tabata, Patrick Asenga achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Rombo, kupitia Chadema

    Huyu Kamanda ni miongoni mwa wapambanaji wanaofahamika jijini Dar es Salaam, ni mpigania haki asiye na shaka yoyote. Wana Rombo wakibahatika kumpata itakuwa baraka kubwa sana. === Mwenyekiti wa Kamati ya Mipangomiji, Miundombinu na Mazingira Mjumbe wa Kamati ya Fedha na Uongozi Mjumbe wa Kamati...
  7. Mzukulu

    Mtangazaji wa Michezo Clouds FM Kipindi cha Sports Extra, Prisca Kishamba Wewe 24/7 anayekutumia Meseji Kipindini ni Mfungo Patrick wa Zimbabwe pekee?

    Yaani sasa mpaka Wasikilizaji wako huwa tunabeti kwamba ni lazima tu ukiwa katika Zamu ya Kipindi cha Michezo cha Sports Extra cha Clouds FM basi mwishoni ukiwa unasoma Meseji za Wasikilizaji wako ni lazima tu utamsoma Mfungo Patrick kutoka Harare Zimbabwe. Ina maana huyu Mfungo Patrick ndiyo...
  8. nimechafukwa

    Patrick Ngowi, Isaya Yunge na Benji Fernandes wameenda wapi?

    Hawa watu watatu wamewahi kuni inspire sanaa kwenye mapambano ya kutafuta chapaa, recently sijawasikia kabisa. Wameenda wapi?
  9. J

    Prof. Patrick Lumumba: Tanzania chama cha siasa ni CCM tu hivyo vingine ni vikundi vya wanaharakati visivyo na Filosofia wala Falsafa

    Mchambuzi wa maswala ya siasa duniani aliyesoma chuo kikuu cha Dsm Prof Patrick Lumumba amesema CCM ni chama cha siasa kilicho na filosofia na falsafa. Prof Patrick amesema Chadema na Cuf ni vyama vichanga ambavyo bado viko katika harakati za " kutengeneza" filosofia na falsafa za taasisi zao...
  10. Kevin85ify

    Dr. Patrick Amoth Nominated Vice Chair Of World Health Assembly

    ======= Acting Director-General in the Ministry of Health Dr. Patrick Amoth has expressed gratitude after his election as the Vice President of the World Health Organisation(WHO) Executive board. The medic thanked Health Cabinet Secretary (CS) Mutahi Kagwe and his Ministry for their confidence...
  11. J

    Rais Magufuli afanya mazungumzo na msomi Prof Patrick Loch Otieno Lumumba, msomi huyu ammwagia sifa lukuki Dr Magufuli

    Rais Magufuli leo amekutana na msomi mbobezi duniani Prof Patrick Lumumba Ikulu jijini Dsm. Rais Magufuli amempongeza Prof Lumumba kwa namna anavyojitahidi kuwashauri viongozi wa Afrika namna ya kuzifanya nchi zao zijitegemee. Nay Lumumba amempongeza Dr Magufuli kwa jinsi alivyoibadilisha...
  12. B

    Patrick Ole Sosopi akihutubia Kamati ya Utendaji ya Bavicha Taifa

    December 08, 2019 Dar -Es-Salaam, Tanzania Mh. Patrick Ole Sosopi akihutubia Baraza Tendaji la Vijana wa CHADEMA Akitoa hotuba iliyoteka hisia za wasikilizaji amewataka Vijana wa CHADEMA ambao amesema ndiyo BARAZA KIVULI LA VIJANA WOTE TANZANIA tofauti na UVCCM ambao ni wasemaji wa makada wa...
  13. PATRICK enogzza

    Msaada Udsm Wanatoa Majna Lina Na Second Selecton Zmeshatoka

    Msaada Ndgu Nahtaj Kufahamu Udsm Wanatoa Majina Lini Ya Waliochaguliwa Na Second Selection Zmeshatoka Au Bado Za Chuo Kikuu Msaada Jamani Mpaka Xaxa Xjapata Selection Mxaada Kwa Hlo Jaman
Back
Top Bottom