patriot

  1. Webabu

    Ukraine yahimiza kila nchi yenye Patriot iwasaidie kupambana na Urusi inayokaribia kuuteka mji wa Kharkiv

    Mji wa Kharkiv ni mji wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine na ambao upo hatarini kutekwa na Urusi baada ya kuteka miji mingine ya kiuchumi ya nchi hiyo. Ukitekwa mji huo Ukraine itakuwa ni kama mnyama aliyekatwa viungo vyote na kubakishwa kichwa pekee. Katika hali ya kuchanganyikiwa nchi hiyo...
  2. Messenger RNA

    Hakuna mfumo hata mmoja wa Patriot ulioharibiwa" Zelensky amjibu Putin

    Rais Volodymyr Zelensky ametoa maoni yake kuhusu matamshi ya Vladimir Putin kwamba jeshi la Urusi linadaiwa kuharibu mifumo mitano ya ulinzi wa anga ya Patriot ya Ukraine iliyotolewa kwa Kiev na nchi za Magharibi. Alitoa kauli kuhusu hili wakati wa hotuba yake ya kila siku. ‘Haijalishi ni nani...
  3. MK254

    Hongera kwa mfumo wa patriot, umeshusha chini mizinga ya hypersonic sita za Mrusi

    Kyiv haipigiki, ptriot ipo imara.... Six hypersonic Russian missiles were shot down over Kyiv on Friday, the Ukrainian air force has claimed. The Kinzhal missiles were accompanied by a further six Kalibr cruise missiles and two drones, which the air force further stated had also been downed...
  4. Webabu

    Patriot zitapigwa sana ifuatiwe na kimya kama cha Himars

    Wachambuzi wa kivita wa Marekani wamekiri kuwa mfumo wa Patriot pamoja na sifa zake kadhaa lakini si mfumo salama mbele ya jeshi la Urusi. Mtambo huo wa Patriot kimsingi umeundika na vitu sita katika ufanyaji kazi wake ambavyo ni generators, radar set, control station, antennas, launcher...
  5. Kanjwinjwi

    Mfumo mwingine wa Patriot wapigwa tena

  6. MK254

    Patriot zinaendelea kulinda mji wa Kyiv, hii inafanya Urusi wawe na hasira sana

    Urusi inaendelea kutuma makombora mazito kuelekea Kyiv lakini yanapanguliwa, aisei mpaka sasa aina hii ya mashambulizi yangeelekezwa Afrika sidhani kama kuna taifa lingepona, muhimu sana na sisi tuwekeze kwa hizi patriots za Marekani...ndio muarubaini wa yote. Russia launched a new wave of air...
  7. I

    Namna ilivyo vigumu kwa mfumo wa ulinzi wa anga (Patriot) kuharibiwa kabisa na kombora la Hypersonic (Kinzhal) Missile

    Tofauti na wengine wanavyofikiri, ni vigumu sana kwa kombora la Hypersonic (Kinzhal) kuharibu kabisa mfumo wa ulinzi wa anga kama Patriot Air Defense System. Mfumo huu wa ulinzi wa anga kwa namna ilivyotengenezwa kufanya kazi haikai sehemu moja bali ina mifumo kadhaa ambazo huwekwa maeneo...
  8. Yoda

    Patriot kuendelea kufanya kazi Ukraine! Kinzhal yatiliwa mashaka u-hypersonic wake

    Baada ya tathmini ya mashambulizi makubwa zaidi ya makombora tangu vita ianze juzi nchini Ukraine, msemaji wa jeshi la anga la Ukraine anasema Patriot zizotumika katika pambano hilo dhidi ya makombora kama Kinzhal zimethibitika kuendelea kufanya kazi vizuri na hivyo WaUkraine wasiwe na hofu...
Back
Top Bottom