Siku 44 zimepita tangu Rais wa Cameroon, Paul Biya, aondoke nchini humo kuelekea barani Ulaya kwa kile kinachoelezwa na mamlaka kuwa ni safari ya matibabu. Kutorejea kwake hadi sasa kumeibua maswali, mijadala na uvumi kuhusu hatima ya kiongozi huyo
Rais Biya, mwenye umri wa miaka 93, aliondoka...