Wafuasi wanamtaka kiongozi mkongwe zaidi duniani, Rais wa Cameroon mwenye umri wa miaka 91, Paul Biya, kugombea urais katika uchaguzi wa urais wa 2025, ukiwa ni uwezekano wa kuongeza utawala wake wa zaidi ya miongo minne.
Watu kadhaa walikuwa wakipiga nyimbo katika mji mkuu wa Cameroon...
Ama kweli madaraka ni matamu, siyo bure. Kila akaliaye kiti kutoka hataki:
Zitaibuliwa sababu za kila rangi: hayupo mwingine hadi kuwa hatoki kwa sababu kuna wanaotaka atoke.
Kumbe kwanini Museveni, Kagame, Putin, Xi, Kim au wale wengine wangali wamekomaa?
Kwamba kama ndoa, hadi kifo...
Katika hali iliyoonekana kama vile kuzidiwa na uzee au matatizo ya kusahau sahau Rais wa Cameron, mheshimiwa Paul Biya alijikuta akigeuka kichekesho wakati wa mkutano wa kimataifa wa US Africa Leadership Summit in Washington DC.
Rais huyo mzee kuliko wote alijikuta akisahau mahali alipo punde...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.