Katika hali ya kustaajabisha recorded video call na picha za sehemu za Siri za msanii harmonize zavujishwa;
Inasemekana aliyekuwa girlfriend wake (bongo movie) akishirikina na maasimu wa msanii Huyu wavujisha picha hizo. Inasemekana msanii Huyu alikuwa anampigia video call Paula (step daughter...
Hatimaye nyota wa bongo fleva Harmonize almaarufu kama Konde Boy mnyama , ameibuka na kuelezea sintofahamu inayomuandama Kwa sasa kufuatia msanii mwenzake Rayvanny kuvujisha mawasiliano yake ya Faragha na mtoto wa aliyekuwa mpenz wake.
Rayvanny alivujisha mawasiliano hayo huku akimtuhumu...
Vita Kali Kati ya nyota wa Mziki wa bongo fleva na mmiliki wa label ya Konde Gang Harmonize na Mkali wa bongo fleva na mmiliki wa label ya Next level music Rayvanny au Vannboy mtu mbaya mtu mbadi imechukua Sura mpya.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram , Vannboy amemuwakia vibaya Harmonize Kwa...
Poleni na msiba wakuu, na poleni Kwa vifurushi pendwa
Mambo ni mengi mda hautoshi, Paula Kajala amezidi kuuthibitishia Umma kuwa yeye ni mtu mzima na anafaa Kwa matumizi yoyote Yale .... Baada ya CEO wa Next Level Music anayetamba na albam yake ya sound of Africa ,Vanny boy mtu mbaya...
Akihojiwa kwenye kipindi cha "on point" kuhusu video ilisambaa akionekana binti akifanya mapenzi na kufanishwa na binti yake anaitwa Paula aliezaaa na msanii wa bongo movies, Kajala, Producer P-Funk amesema binti huyo anaeonekana sio mwanae Paula.
"Umeona nimekaa kimya ujue yule sio binti...
Haya haya jamani mji umechafuka kwa mara nyingine tena...
Wakati Kajala anaendelea kutrend kutokana na picha zake na Harmonize wakiwa Zanzibar ikidaiwa wawili hao ni wapenzi, leo hii yameibuka mapya baada ya Rayvanny kutoka WCB kupost video akiwa na Paula Mathysse ambaye ni mtoto wa Kajala na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.