Nadhani wale wenzangu na mimi mnaotumia Paypal mlishawahi kukumbana na tatizo la paypal kushikilia pesa yako kwa miezi 6 na kisha baada ya hapo kukwambia uitoe ila option iliyopo ni kupitia akaunti ya bank ya US.
Sasa leo nawapa njia ya kuwithdraw hiyo pesa. Unatakiwa kuwa na US dollar account...
Dunia ya sasa biashara za mitandaoni ni kubwa mno na hazina mipaka
Waweza uza chochote mitandaoni
Njia ya malipo ya haraka ya kupokea pesa mitandaoni ni njia ya Paypal ikiruhusiwa itafungua ajira nyingi mno
Wabunge tunaomba mtusaidie kwa hili kutuulizia bungeni
Mh. Waziri Ndugulile pamoja na Benki Kuu ya Tanzania sisi vijana tusio na ajira tunaomba mruhusu account za paypal ziweze kuruhusu kupokea pesa ili tujiajiri na kazi za mitandaoni.
Tunakuomba sana mheshimiwa Waziri utusaidie. Huku mtaani hali ni mbaya sana.
Natanguliza shukrani.
Wandugu kwanini Tanzania hawaruhusu watu kupokea malipo kwa Paypal, njia rahisi kabisa?
Siku hizi kuna kazi nyingi sana mtu unaweza kufanya mtandaoni. Ni wewe tu na bando lako na simu yako au Kompyuta yao. Unaweza kufanya kazi ipo US au kokote duniani. Na njia rahisi ya malipo ni kupitia...
Nimepata changamoto ya kushindwa kuunganisha Kadi yangu ya Airtel Master card na Paypal. Haswa eneo la ukomo wa tarehe. Hitilafu ninazokutana nazo kama kwenye picha ifuatavyo:
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ambayo ni mpya tunatarrajia ifanye mambo makubwa ya kuongeza ajira kwa vijana mitandaoni.
Tanzania kumekuwa na tatizo kubwa la ajira. Njia moja ya kuondoa hilo tatizo ni kwa watu kutafuta kazi za kufanya online, yaani mitandaoni. Kazi zipo nyingi...
Najaribu kustructure project ya kuwezesha kutoa pesa za PayPal hapa TZ, kwa kuwa kwa sasa haiwezekani ila tunaweza take advantage ya kutumia product hizi 3 kufanikisha
1. M-Pesa open API
2. DirectPay API
3. PayPal API
ambapo itakuwa hivi
1. kwa kuwa M-Pesa API inaruhusu huduma C2B, B2B, B2C...
Wakuu kwema?
Nina mpango wa kufungua akaunti kwenye kampuni tajwa hapo juu. Lengo ni kuweza kubet makampuni ya kubet ya nje. Nina sababu fulani muhimu za kuchagua makampuni hayo ya kubet.
Kuna anaejua jinsi ya kusajili, funds transfer charges na chochote cha muhimu kujua juu ya haya makampuni...
Habari wadau wa biashara na ujasiliamali.
Labda nitangaze interest. Nimefungua biashara yangu ambayo inahitaji sana kupokea malipo ya awali kabla ya kutoa huduma na nikaifikiria PayPal.
Katika mapitio yangu inaonekana Tanzania haijaanza kutumia huduma hii rasmi.
Kwa kutambua hilo naomba kujua...
Ni nani aliwahi kufungua account ya paypal labda Kenya halafu hela ikaingia wakaihold? Na je alifanikiwa kuifungua au ndiyo alikubali pesa ipokee kwakushindwa verify identity na documentations hakuwa nazo?
Habari, wakuu. Natumai muko wazima na afya kamili. Ninapenda kuwajuza ya kwamba natoa ofa ya kutengeneza business account ya paypal na kuweza kupokea hela straight katika credit card yako au katika acount yako ya mpesa kupitia M-PESA MasterCard. Hii itafanya kazi duniani kote bila ya usumbufu...
Dear all
Have registered for a new paypal account using the CRDB debit card and that my account was charged by paypal US$ 1.95 and the code sent to the bank. On requesting the bank statement I do not get the paypal code but the transaction code through my bank. How one get the PAYPAL CODE...
Watanzania wengi wanataka kuuza vitu masoko na maduka ya mitandaoni kama Amazon, Ebay n.k
Yericko Nyerere, huwa unalipwaje ukiuza kitabu chako cha ujasusi wa kiuchumi kwenye duka la Mtandaoni la Amazon; yaani pesa zako huwa unazipataje, kwa Paypal au njia ipi mteja aki-click na kununua?
Sababu...
Tanzania kumekuwa na tatizo kubwa la ajira. Njia moja ya kuondoa hilo tatizo ni kwa watu kutafuta kazi za kufanya online, yaani mitandaoni. Kazi zipo nyingi. Mfano, waweza pata kazi ya kutafsiri website ya kampuni au mtu kwa Kiswahili au kutafsiri kitabu. Unafanya online malipo yanakuwa kwa njia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.