Najaribu kustructure project ya kuwezesha kutoa pesa za PayPal hapa TZ, kwa kuwa kwa sasa haiwezekani ila tunaweza take advantage ya kutumia product hizi 3 kufanikisha
1. M-Pesa open API
2. DirectPay API
3. PayPal API
ambapo itakuwa hivi
1. kwa kuwa M-Pesa API inaruhusu huduma C2B, B2B, B2C...