pc game

  1. chuxxe

    msaada wa game parkage wakuu naitaji za ps3 na pc

    wakuu mwenye game parkage za pc na ps3 anisaidie ntachangia japo kidogo coz me pia nilikuwa nazo ila disk yangu imecorupt
  2. M

    Natafuta Hili game

    Habari zenu wadau Kuna game la kivita nalitafuta lakini kibaya nikwamba silijui jina ila naamini humu kuna watu watalijua tu. Liko hivi shooter yuko kwenye helcopter juu(haitembei) chini kuna wanajeshi wanakuja na magari na vifaru kisha ww ndo una shoot,pia kuna mission zingine ni usiku na...
Back
Top Bottom