Habari zenu wadau
Kuna game la kivita nalitafuta lakini kibaya nikwamba silijui jina ila naamini humu kuna watu watalijua tu.
Liko hivi
shooter yuko kwenye helcopter juu(haitembei) chini kuna wanajeshi wanakuja na magari na vifaru kisha ww ndo una shoot,pia kuna mission zingine ni usiku na...