Habari za wakati ndugu zangu, natumaini mu wazima. Bila kupoteza muda naomba nielekee kwenye hoja ya msingi.
Leo Tume ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) wametoa orodha ya majina ya watu waliofuzu kwenda Dodoma kufanya usahili wa awali wa maandishi (amplitude test) siku ya tarehe 8...
Kamanda heshima yako,
Napenda kukufahamisha kuwa tumekutumia email ya malalamiko dhidi ya maofisa wako wanajihusisha na vitendo vya rushwa. Email hii tuliyokutumia tumetumia dgeneral@pccb.go.tz. Tumeona tukutumie ujumbe kupitia jf hapa kwani tunaamini wewe unapitia hapa lakini pia uenda hiyo...
1. Ben Saanane pole sana huko uliko.
2. Azory Gwanda pole sana huko uliko.
3. Binti Akwilina Akwilina pole sana huko uliko.
4. Clouds tv hasa hasa Marehemu Ruge na Watangazaji wa Shilawadu akina Soudy Brown na Kwisa, poleni sana.
5. Mwanamuziki Roma Mkatoliki pole sana.
6. Yusuf Mehboob...
Viongozi husika mtazame hili sula sasa imekuwa too much ukiagiza gari kwenye ukaguzi bandarini TBS lazima waandike dosari eti ukarekebishe ndio wakupe kibali lakini hata urekebishe vipi bado watakosoa
Hawa watu wameanzisha kamfumo hako lengo uwape rushwa tu na rushwa wanajia nyingi za kupokea...
Katika kipindi cha awamu ya tano kilichojibatiza na kujiita serikali ya "mwendazake" ampapo mzee wa Lupaso RIP Ben Mkapa alilikemea hilo bila kificho.
1. TRA waligeuka kuwa genge fulani la wahalifu kwa kupora pesa kwa wafanyabiashara kwa kuwabambikiza kodi za juu na za uongo ili kutengeneza...
TAKUKURU inamshikilia Mwendesha Mashitaka wa Mkoa wa Manyara, Wakili Msomi Mtalemwa Kishenyi kwa tuhuma za kuomba rushwa ya Milioni 5 kutoka kqa watuhumiwa wa Makosa ya jinai.
Hao watuhumiwa wa Jinai walikutwa na Risasi 370 pamoja na sticker fake za Bilioni 6.
Hizi ni baadhi ya Kesi...
Salaam Wakuu,
TAKUKURU yautambua mchango mkubwa wa JamiiForums pamoja vyombo vya habari Nchini katika kuendeleza mapambano dhidi ya rushwa nchini. Tukio hilo limefanyika leo 28 Januari Jijini Dar Es Salaam wakati wa Uzinduzi wa Chaneli mpya ya TAKUKURU TV ya YouTube.
Tukio lhili imeambatana na...
TAKUKURU YABAINI VYUO VYA UDSM NA UDOM KUWA VINARA WA RUSHWA YA NGONO NCHINI
Habari Kamili Gazeti la Nipashe la Leo ukurasa wa Pili.
Nashukuru sana Chuo Kikuu changu bora na tukuka kabisa cha SAUT hakina huu Uhuni na Upuuzi na ndiyo maana kinatoa Geniuses tupu Tanzania.
Ni kwanini katika kila 'Vibanda' ambavyo Askari Barabarani (Traffic Police) huwa wanakaa kuna 'Mlundikano' mkubwa sana wa Magazeti na cha Kushangaza karibia yote utakuta yana zile 'Pini' bado hazijatolewa halafu na hata Wao wenyewe huwa hawana muda wa 'Kuyasoma' ila wanapenda tu kuwa nayo humo...
Tangu kura sijui za maoni sijui za nini huko zitangazwe, matukio ya rushwa yalishamiri mno, mchakato huu ulifanywa na Chadema pia ila hatukusikia haya mambo.
Video hii ni mtu anayesikika akitajwa kwa jina la Ngeleja akiwakimbia PCCB wakati wakijaribu kumkamata. Wabunge wa style hii kamwe...
Wakuu, Mpelelezi Mkuu wa PCCB ndugu John Minyenya afariki dunia usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Hindu Mandal baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Bwana Minyenya alikuwa miongoni mwa viongozi wa juu waliopeleka taarifa ya pelelezi mbalimbali za tuhuma wakati wa kukabidhi ripoti kuu ya PCCB ya...
Leo Februari 14, 2020 Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo, Ndugu Zitto Kabwe, ambaye yupo nje ya nchi katika harakati za kuhami Demokrasia yetu ya Tanzania kwa kuhamasisha mshikamano na Jumuiya za Kimataifa, ameandika yafuatayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter;
Aprili...
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola hivi sasa yupo chini ya ulinzi unaomfanya asiweze kusafiri sehemu yoyote bila Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuwa na taarifa.
Lugola alitenguliwa wadhifa wake baada ya kuhusishwa na mkataba wa kifisadi wa zaidi ya...
Mkuu pole na kazi,
Kwa masikitiko napenda kukujuza kuwa vitendo anavyofanya huyu kiongozi wa PCCB mkoa wa Kagera haviachi chembe yoyote kuhusu rushwa.
Kiongozi huyu amekuwa akishirikiana na watu tunao wajua tabia zao za kudhurumu watu mali zao na kisha kukimbilia kwa kiongozi huyu wa pccb ili...
Nimekutana na huu uzi ... Kwamba PCCB iko mbioni kuzimulika TRA na ZRB kwa kuihujumu serikali katika kukusanya mapato kwa kutumia mfumo wa kukusanya kodi kielektroniki e-RCS, kwa kuuzima mara kwa mara na kumdanganya Rais Magufuli kwamba umeharibika, kumbe TRA na ZRB na maafisa wa wizara ya fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.