Hapo majuzi nchi tano za kiarabu ziliahidi kusimamia mpango wa kuijenga Gaza kwa gharama ya dola bilioni 53.Ni jambo zuri sana lakini ni maamuzi ya kizembe sana.
Wakati ahadi hiyo ikitolewa ilishapita wiiki 2 Israel ikiwa imezuia mahitaji yote kuingia Gaza tena katka mwezi mtukufu wa...
Katika jamii zetu za kisasa, mifumo ya maisha inatofautiana sana kulingana na hadhi ya kifedha. Wakati wa kale, urafiki ulijengwa kwa misingi ya ukweli, uaminifu na upendo wa dhati, lakini leo tunaona mabadiliko makubwa katika jinsi watu wanavyohusiana na kutengeneza uhusiano wao.
Kwa wengi...
Nimeiona hii Hali kwa madada wawili wa tumbo moja, wa kwanza alijifungua na baada ya kukorofoshana na mwanaume wake akampeleka mtoto kijijini ingalikuwa mwanaume alikuwa anaweza kumtunza mtoto vizuri tu
Mdogo wake naye hivyo hivyo baada ya kugombana na mwanaume wake akachukua mtoto akampeleka...
Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na akili na kuwa na ufahamu wa juu.
Watu wengi hufikiri kwamba akili (IQ) pekee inatosha kumfikisha mtu kwenye mafanikio, lakini ukweli ni kwamba ufahamu (awareness) wa hali ya juu
ndio unaotofautisha watu wa kawaida na wale wanaoweza kujitambua, kuelewa mifumo...
Mada zangu zina kawaida ya kuwa mbele ya muda. Ukija kibishibishi muda utakuumbua.
Kuna siku nilihoji uhalali wa kusema ligi ya NBC ni ya 5 kwa ubora Africa, wengi wakanibishia bila chanzo cha kuaminika cha hiyo ranking. Matokeo yake sasa hivi, kila mtu, kuanzia mashabiki, wachambuzi hadi...
Hawa vijana wa singeli uenda bongo ndio tuna vijana wa hovyo kutwa kutumia bando kuangalia ujinga mda hauendi mtu analia connection connection connection haikufuati umelala kitandani ukiwa unapambana bongo usiache na kupambana nje pia nje hapa hitaji connection ili kupata kazi kule ni cv na...
Miaka ya 2010 nikamaliza degree yangu ya pili baada ya ile ya awali kutonipa manufaa.
Kwa kuwa nilisoma nikiwa na cheki namba haikunipa shida kuhamia wizara nyingine kama mtaalam wa nilichokwenda kusomea.
Idadi ya wahutimu vijana ni kubwa mno, na sio walimu ni kada nyingine kabisa. Wakati huu...
HOTUBA YA VIRUSI VYA UKIMWI (MTOTO PEKEE WA KIUME WA MZEE UKIMWI)
VVU amesimama jukwaani mbele ya wanadamu, anasema;
"Najua mnanijua ila leo nataka mnijue zaidi. Watu wengi huko mitaani wamenipachika majina ya utani wananiita miwaya, taa, ngoma, kisiki, gonjwa kubwa, na majina mengine...
Huyu dogo kutoka West Africa amelost big time.Kijana hizo ng'ombe fuso mbili bora angepelekea vituo vya watoto yatima wakala ubweche kuliko kulipia mahari SINGO MAZA with two kids from two different men who ate that punani without giving even a single cent😣😣😣😣
Huyu dogo mpira ukianza kumtupa...
Hamjamboni wote!
Ukiona mtu yeyote mapenzi hayambabaishi ujue anatumie Kanuni ya kutowekeza kwenye mapenzi na kuwekeza kwa Mwanamke.
Asije Panya yeyote akakudanganya kuwa usipokeeza kwa Wanawake ati utaishia kuwaita shemeji wanawake warembo. Huo sio UKWELI.
Nakuhakikishia, kuna mwanamke Mmoja...
Huwa nawaambia binadamu ndo kiumbe ambaye hakupewa akili Ila baadhi ya watu wanabisha.
Ebu jiulize hao M23 wanapambania nini ? Au vita ya Russia ma Ukraine ilisababishwa na nini.
Mtu unakubali kwenda kuuliwa na hao M23 kisa umetumwa na hawa wanasiasa Vilaza na wajinga ambao wanapambania...
Ni Wasira ndiye alimuondoa Warioba katika ubunge wa Bunda, walipelekana mpaka mahakama ya rufani.
Sijamsikia Warioba akitoa hata pongezi, kulikoni!?
N. B:
Ni Wilaya ya Bunda ambayo imetoa Makamu wa Mwenyekiti CCM Taifa, Waziri Mkuu, nadhani(hata Mwenyekiti wa CCM taifa, Julius Kambarage...
Je sisi ni raia wa Marekani ?
Je tunalipa kodi au tozo Marekani?
Je tunawafanyia nini cha Maana Marekani tustahili misaada ?
Kwa Nchi za Afrika hasa Tanzania mna Madini ya aina mbali mbali ,Ardhi ,Bahari ,Maziwa na mito , vivutio vya kitalii ni ujinga kulilia misaada.
Nadhani Africa tumepewa...
Serikali ya Donald Trump imetambulisha sera ya bendera moja, ambapo bendera ya Marekani pekee ndiyo itakayoruhusiwa kupepea katika vituo vyote vya Serikali ndani na nje ya nchi zikiwemo ofisi za balozi.
Bendera nyingine zitakazoruhusiwa kwa maadhimisho ya siku maalumu ni ya mfungwa wa vita na...
Nyerere alikuja mjini hata kiswahili hajui vizuri ila nyota ikamuangukia wazee wakamuamini wakampa nchi,
Mwinyi aliambiwa achukue fomu kama geresha tu za kisiasa,baadae akaambiwa aondoe jina lake ili Salim aoewe nchi,akagoma,jina likapita kibahatibahati tu.
Siku Mkapa anachukua fomu ya Urais...
Husika na kichwa hapo juu Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 40 ni mfanyanya biashara hapa mwanza, nahitaji mtu mwenye mtaji wa kuanziasha biashara ya pamoja.
Mimi tayar nachumba cha duka natafuta mtu mwenye Nia ya pamoja, kutokana na chumba kilipo kinafaa sana kama Kuprint tishet mabango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.