pekee

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Je wajua, Jerusalem ni Jiji pekee linalopatikana Duniani na Mbinguni?

    Salaam, Shalom!! Yapo majiji mazuri duniani Hilo halipingiki, Lakini, Pana Jiji liitwalo Jerusalem, Jerusalem ni Jiji pekee ambalo lipo duniani na Mbinguni. Na hayupo na hatokuwepo atakayeingia Mbinguni ikiwa Si Mwisrael wa mwilini au wa rohoni. Ikiwa unapenda kuwa mmoja wa raia wa Jiji hili...
  2. Tlaatlaah

    Rais Samia Suluhu ndie kiongozi pekee wa kisiasa Tanzania ambae ni kielelezo cha uzalendo na nembo ya umoja wa kitaifa na kimatafa

    Nia na dhamira yake njema ni ya wazi na yenye lengo la kuhakikisha umoja, amani na utangamano miongoni wananchi na Tanzania kwa ujumla, ni imara licha ya utofauti wa mirengo ya kisiasa au kidini, lakini kama Taifa tunabaki kua ndugu, jamaa na marafiki kwa maslahi mapana ya Taifa. Dr.Samia...
  3. B

    Kuna utofauti sana kati ya biashara inayomilikiwa na muajiriwa na biashara ya mtu aliyejiajiri pekee

    👉Biashara inayomilikiwa na muajiriwa Ina possibility kubwa ya kusurvive kuliko ya aliyejiajiri pekee sababu zifuatazo 👉 Mikopo kwa waajiriwa ni rahisi kuicover Bila kuathiri asset zao ambazo hazihamishiki 👉 Biashara za walioajiriwa unaweza Pata wa kukushika mkono na kukuwekea safety wenye D2...
  4. sergio 5

    Offen Chikola: Nyota wa Kandanda anayeng'ara ndani na nje ya Uwanja

    Offen Chikola ni mchezaji mwenye kipaji cha hali ya juu. Nilipata nafasi ya kumsikia akihojiwa mara moja, na jamaa huyu sio tu kwamba anajua mpira, bali pia ana akili nyingi za maisha ya kawaida. Anajulikana kwa kuwa mtulivu na mwenye akili timamu, iwe uwanjani au nje ya uwanja.
  5. Makonde plateu

    Yawezekana Rais Mkapa ndiyo rais pekee ambae hakuwa mbinafsi

    Ndiyo! Rais mkapa hakua mbinafsi hata kidogo na yawezekana ndiyo Rais ambae hakupendelea kwao kabisa mpaka anaondoka madarakani Rais mkapa hakupeleka vitu vingi sana kwao mtwara zaidi ya daraja la rufiji na zile barabara na hata barabara zilikamilika kipindi cha Kikwete si mkapa.Mkapa kwa nafasi...
  6. ndege JOHN

    Kwanini chanjo inachomwa mkono wa kushoto pekee

    Swali linajieleza wakuu kwanini chanjo mfano ya corona au nyingine hawachomi mkono wa kulia
  7. Metronidazole 400mg

    Mnafeli pekee aliyepona kwenye gharika la Nuhu (Mfalme Ogu au Uj Bin Anaq-kiarabu)

    Mfalme Ogu anatajwa kwenye vitabu vya dini kuu tatu za mashariki ya kati yaani Uislam, Ukristo na Uyahudi. NB: Nimezingatia dini zote tatu zinavyomzungumzia Inaelezwa alikuwa ni mfalme aliyetawala eneo la Canaan (Palestina/Israel ama jordan ya sasa)katika ulimwengu wa kale takriban miaka zaidi...
  8. W

    LGE2024 Nani analinda kura ya HAPANA kwa mgombea wa chama kimoja pekee?

    Kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa za mwaka huu hakuna mgombea atakaepita bila kupigwa badala yake kutakuwa na kura ya NDIO au HAPANA kama itatokea mgombea ni mmoja katika nafasi husika. Vyama vya siasa vina haki ya kuweka mawakala katika vituo vya kupigia kula ikiwa vimetoa...
  9. Etugrul Bey

    Watu Wenye Uzoefu Pekee Watakwambia Haya

    Kuepuka kuumia wakubali watu kama walivyo na sio kwa vile unavyotaka wao wawe. Kwasababu hawawezi kuwa kama unavyotaka Tafuta amani kwa kufanya mambo yako na sio kufuatilia maisha au mambo ya watu wengine Jiangalie na kujithamini wewe mwenyewe kwasababu lolote likikupata watu wanaendelea na...
  10. G

    Marekani kuna wizi wa kura, vitambulisho haviruhusiwi kupiga kura kwenye majimbo ya Democrats, Ni Majimbo pekee aliyoshindwa Trump.

    hadi Marekani wanaojinadi ni wakuu wa Demokrasia haya mambo yapo Majimbo mekundu alikoshinda Trump ID zinahitajika, Majimbo ya Blue alikoshinda Kamala ID hazihitajiki, kama zinahitajika zisiwe na picha NON PHOTO ID - Mpiga kura anahitaji nyaraka yoyote isiyo na picha kuthibitisha utambulisho...
  11. Pendaelli

    Kushindwa na kuanguka ndio njia pekee ya kufanikiwa.

    Asilimia 70 na zaidi ya watu wote wanaofutila siasa za Marekani wamefurahishwa na ushindi wa Trump, hata mataifa hasimu ya Marekani yamefurahishwa sana na ushindi huo. Pongezi ni kwa Trump, lakini tuna la kujifunza sote katika maisha maisha yetu ya kawaida Pamoja na Trump na wengi tunaowasoma...
  12. Magical power

    Omba huku ukichukua hatua ya kuwa vile uombavyo uwe imani pekee haitoshi

    Kutamani pekee haitoshi lazima uchukue hatua kuyafikia hayo matamanio yako. Vitu vizuri huja kwa wenye subira ila vitu vizuri zaidi na vilivyo bora humilikiwa na wale watu wanaothubutu kuvifaata vile wavitakavyo vilipo au kuvivutia Mara nyingi vitu vizuri zaidi vina ushindani na wakati mwingine...
  13. Tlaatlaah

    Wapiga kura wengi zaidi Tanzania wana imani kubwa mno na wagombea uongozi wa CCM pekee

    Hali hiyo hupelekea CCM madhubuti, kupata ushindi wa kishindo kwenye chaguzi zote huru, za haki na za wazi na kisha kushika dola, kuunda serikali, kuongoza nchi kwa mafanikio makubwa sana. CCM hutumia dhamana na fursa hiyo ya uongozi vizuri sana na kwa weledi mkubwa mno, kuwafanyia waTanzania...
  14. Teko Modise

    Fahamu Mambo 10 kuhusu Jenerali Robert Mboma, CDF pekee kutokea Kamandi ya Anga

    Leo nimeona niwaletee machache kuhusu Jenerali Robert Mboma, aliyepata kuwa Mkuu wa Majeshi wa Tanzania miaka ya nyuma huku akiwa na rekodi mbalimbali. Twende kazi… 1. Jenerali Robert Mboma alijiunga na Jeshi la Wananchi na kulitumikia katika nafasi mbalimbali mpaka pale alipostafu mwaka 2001...
  15. Tlaatlaah

    LGE2024 Demokrasia imekomaa sana nchini, kata yangu ina wagombea uongozi wa kijiji wa CCM pekee

    Asante sana vijiji vyote vitano kwa namna mnavyokiamini na kukikubali Chama Cha Mapinduzi. Shukran sana kwa kuamua kuongozwa na vongozi makini na waaminifu wa CCM. Ni kitongoji kimoja pekee ndio kina mgombea dhaifu sana kutoka upinzani, hata hivyo nampongeza kwa ujasiri aliokuanao licha ya...
  16. Trainee

    Napendekeza mfumo wa umeme ushughulikiwe na TANESCO pekee

    Sijui heading ipo sawa au laa ila ninachokusudia ni zile process za kuvutia umeme majumbani. Huwa sipendi kubahatisha nikauliza mtu wa TANESCO kuhusu umeme nikaambiwa cha kwanza piga wiring ndipo ujaze fomu. Nimejaza fomu online napiga simu TANESCO huduma kwa wateja nijue hatua inayofuata...
  17. D Mtanzania

    iPhone ni Simu Pekee inayokuepusha na Wadakuzi au Kupelelezwa

  18. Smt016

    Kayoko ni mwamuzi mbovu ila kwenye hii derby kila timu imeathirika na maamuzi yake ya ovyo tofauti na Simba wanavyoona ni wao pekee

    Ukipita mitandaoni na mitaani, utaona wanasimba wanalalamika wameonewa na mwamuzi sababu kubwa zao ni 1) wamenyimwa penati mbili za Kibu, na faulo iliyozaa goli haikuwa faulo ya maana. Kwenye swala la penati ambayo ni halali ni moja tu na sio mbili kama inavyodaiwa. Ile moja ni faulo...
  19. BLACK MOVEMENT

    JE wajua ni Tanzania pekee Bunge hukutana kujadili matundu ya vyoo vya shule na zahanati? Duniani ni Tanzania pekee

    Bunge la Tanzania baada ya miaka 60 plus unakuta mjadala unahusu choo cha zahanati, kwamba real watu wanakutana Dodoma kujadili Choo cha zahanati fulani. Unakuta wanajadili Madaraja na Makaravati, wanajadili matundu ya vyoo vya shule. Na raia walivyo wajinga ndio vitu wanapenda kusikia, yaani...
  20. Ritz

    Tetesi: Khalid Mish’al anaweza kuwa kiongozi anayefuata wa Hamas

    Wanaukumbi. BREAKING: KHALID MISH’AL ANAWEZA KUWA KIONGOZI ANAYEFUATA WA HAMAS Kuna muundo wa uongozi uliowekwa ========================= https://x.com/shaykhsulaiman/status/1846918165936091304?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Back
Top Bottom