Tarehe 14 mwez huu ndo ile siku ya kuvuna tulichopanda. Siku zimebaki chache usiache fursa hii ikupite ni rahisi sana huhitaji pesa wala hakuna atakaekuomba pesa
Mahitaji Telegram
Muda wako Dk 2 tu kufanya task ndogo
Then subiri tarehe 14 August tufurahi pamoja.
Nitakupa link lakin kabla...
Nasikis paredi imeandaliwa kabisa baada ya kutwaa IST Cup. Wanayanga watatembea vifua mbereee kunadi hicho kikombe ambacho wakifanya mchezo hawanyanyui tena kwapa msimu huu.
Yanga bana. Waliyakejeli mashindano ya Kombe la Muungano kisa yalikuwa na timu 4 tu, wao wameenda kukenua meno na...
Kuna mambo mengi hutokea katika hivi viwanja vya mfumo wa kisiasa,kimsingi hua ni hitilafu/utata wa sheria au uvunjaji wa sheria unaofanya na moja watendaji wa kiserikali may be kwa kujua au kutokujua.
Kwa bahati mbaya zaidi,hutumiwa propaganda za wasanii,timu za mipira au uvunjaji wa sheria...
Wasakatonge wenzangu kama mjuavyo Mimi Huwa napenda kufanya vitu ambavyo vinaweza kuacha alama kwenye jamii, japo sijabahatika kuwa miongoni mwa watoa maamuzi muhimu wa Taifa, ila amini nakwambia siku moja tutakaa na watoa maamuzi wa Taifa na watatusikiliza kwa TUO.
Miezi kazaa nyuma niliazimia...
Dogo amefanya ushawishi Mkubwa sana kwenye WBNA kiasi ambacho amekuwa kivutio cha watu wengi sana.
Hivi karibuni amechaguliwa kwenye all stars ya WBNA, licha ya mafanikio aliweza kuwashukuru wote waliofanikisha ndoto zake kutImiza.
Angelreese ana kiimo flani amazing Akiwa ndani ya uwanja...
Kwenye kumilikishwa viwanja kuna hati za aina mbili:
1. Makazi pekee.
2. Makazi na biashara.
Na hata umilikishwaji wake una gharama tofauti cha biashara na makazi kina gharama zaidi per squre meter je?
Tofauti ni ipi na faida ni zipi?
Nchi hii imeshakuwa na majemedari mahiri na nguli, lakini wote hawakuwa na ujasiri wa kutoa amri ya kuruhusu mabasi yatembee usiku kucha. Imagine chuma kama Nyerere hakikutoa amri hiyo, chuma kama Mwinyi, Mwamba kama Mkapa, Jemedari kama Kikwete, JPM pamoja na kuwa dikteta wa kwanza nchini...
Ni ukweli usiopingika kwamba chama cha mapinduzi ndio chama ambacho kina historia kubwa hapa barani africa,,na hii ni kutokana na historia ya viongozi wake kuwa mstari wa mbele kutoka enzi za kupigania uhuru kupambana katika harakati za kuona nchi nyingine za Afrika zinapata uhuru pia.
Lakini...
"Na isitoshe pamoja na kufanyiwa kila Kitu na Wanaume ikiwemo hadi Kuridhishwa maradufu bado tena Wanaume hao hao Wanawajibika katika Kuwatunzeni lakini pamoja na yote haya utakuta Wanawake wao hawarudishi Uwajibikaji huo kwa Wanaume na wanadhani Kufungua Kwao Miguu kila Siku ndiyo Upendo wa...
Kule kwetu watu wenye chawa walikuwa wakijisikia aibu, lakini nasikia huko kwenu ni ufahari kuwa na chawa wengi!
Kule kwetu tulikuwa tukuzichemshia maji nguo zenye chawa, lakini nasikia huko kwenu mnazilisha na kuzihudumia vizuri!
Kule kwetu tulikuwa tukikosa usingizi chawa wakivamia vitanda...
Ewe kijana wa kiume wa karne hii Acha kujidanganya kama unapendwa huyo mwanamke uliyenaye hakupendi ila anakusanifu sababu mambo yake bado hayaja nyooka..........
mwanamke siku zote akiwa hana kitu kwa mwanaume wake huwa ni mpole na mnyenyekevu sababu kuna kitu either anakitafuta au anakipata...
binafsi nilianza kumfuatilia mh Antipus Tundu Lissu kipindi alipoasis neno Dictator uchwara. kutokana na performance na siasa za mwendazake sikukubaliana na Tundu japo neno Dictator uchwara na madhara yaliyompata baadae wengi wetu nikiwemo mimi tulianza kuwa sensitive na kila alilofanya Tundu...
Hayati Julius alijikita zaidi kuwakomboa Wazimbabwe na Waafrika kusini akasahau kujenga nchi yake.
Hayati Mwinyi akaruhusu ufisadi na kila namna ya upigaji.
Mkapa akajitahidi kidogo kukusanya mapato ila kukawa na upigaji.
Kikwete awamu yake ikajaa upigaji tu na uswahili.
Hayati Magufuli...
Achana na porojo za vikundi vinavyo hongwa na watu wenye nia mbaya ili kumhujumu ndugu Murtaza Mangungu (genius wa msimbazi), leo nataka kukumegea siri makini sana.
Ni hivi, ndugu Murtaza Mangungu ni kiongozi makini anayesimamia katiba na sheria ndiyomaana mpaka sasa hajajiingiza kwenye...
Ni Afrika pekee na nchi ambazo ni maskini ndio wanamsemo huu ufuatao,
"WANAUME HATUJAUMBIWA MWANAMKE MMOJA"
Sijawahi ona nchi zilizoendelea "Developed Countries" wakiongea huo upuuzi wa Wanaume hatujaumbiwa Mwanamke mmoja.
Nimeishi U.S.A, ULAYA NA ASIA LAKINI SIJAWAHI KUONA KITU CHA KIJINGA...
kwa makadirio makubwa mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi kwa timu kuu, Yanga princess na vijana ni BILIONI 4
kwa makadirio ya juu, Timu kuu mishahara ni BILIONI 3
Wanaopata milioni 25 wawili
Wanaopata milioni 20 wawili
Wanaopata milioni 15 watatu
Wanaopata milioni 10 sita
Hao wengine...
Unakuta mtu mmeshazikunja na mtu anytime kina happen halafu anakuja mtu Kwa nyuma anakuvuta vuta mikono je ukipigwa ngumu ya ghafla na adui.
Rafiki mzuri akikuona mnazipanga anatulia kwanza Mpaka uzidiwe Kwa kukandamizwa labda chini ndo aje kuamulia. Sio mtu anakuja nyuma anakubana mikono ooh...
mnadhani hivi vyote vimetokea kimiujiza ? furaha tulizokuwa tunazopata hasa kimataifa mnadhani ni mpera umetoa zabibu ?
Kufuzu robo fainali mashindano ya caf ishakuwa kawaida,
timu kubwa kama al ahly zinaiheshimu Simba,
Simba ni klabu ya 7 kwenye ranking za Afrika,
wachezaji wa simba wana soko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.