Wanangu wa Ukraine wamekiamsha kama ambao wana vichaa vile, yaani Urusi wanafukuziwa balaa hadi aliyekua generali ameshauri njia ya pekee ni kutumia nyuklia kuzuia huu mzuka wa Ukraine....
A former top Russian soldier has suggested dropping a nuclear bomb in southern Ukraine to eradicate any...
Walianza Burkina Faso, wakaja Niger Sasa ni Gabon.
Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi.
Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya...
Ngoja taratibu nianze kuangalia Arusha kuna Rasilimali gani na labda unaweza Kuwekeza katika lipi Ukishirikiana na Wazungu ( hasa Wamarekani ) na Waarabu ( hasa wa Yemen na Dubai ) ili GENTAMYCINE nisije kuwa Namlaumu tu Mtu bure.
Mzuka wanajamvi!
Mwanadada mrembo Kristina Raspopova alikuwa muhudumu kwenye ndege iliyopata ajali na kumuua boss wa Wagner Yevgeny Prigozhin aliwasiliana na familia yake kabla ya safari kwa kushangaa kwanini safari iliahirishwa eti ndege inafanyiwa matengenezo. Kumbe wanachomeka mabomu.
Sasa...
Hata mimi nina threads kadhaa za kuuponda mkataba wa DP World na Tanzania kutokana na vipengere visivyo na manufaa kwa nchi yetu. Kimsingi kila mwananchi kwa sasa amekuwa bingwa wa mikataba na uwekezaji kutokana na maamuzi ya Rais Samia kufungua uhuru wa maoni ambao ulidhibitiwa na mtangulizi...
“KUNA HATUA TATU WANAWEZA KUCHUKUA”
Hatua ya kwanza ni kampuni hiyo kukiri kwamba mkataba wao uliandaliwa vibaya, wakubali kuwa umekosewa na kwahiyo kuna vifungu vinatakiwa kurekebishwa. Wasijaribu kumshinikiza Samia wala kumdanganya kwamba anaweza kubadilisha sheria za nchi yetu, ili ziweze...
Katika historia ya dunia na uchipukaji wa dini duniani unaonesha kwamba mara nyingi dini huenda sambamba pamoja na siasa na tawala za nchi.
Hali hii ilikuwa na nguvu katika ujenzi wa mwanzo wa mataifa ya Ulaya na makoloni yake sehemu mbalimbali za duniani hata mataifa ya mashariki ya kati nayo...
Jezi atakayoivaa Alphonce Felix Simbu siku ya Mashindano.
Mwanariadha wa Kimataifa wa Riadha Tanzania na Mwakilishi Pekee , Alphonce Felix Simbu anatarajia kutuwakilisha kwenye Mashindano ya Riadha ya Dunia yanayofanyika huko Budabest, Hungary ; kuanzia 19 -27 Agosti 2023.
Simbu anatarajia...
Kama una muda, usikilize uchambuzi yakinifu wa huyu msomi mbobezi. Kumbe ni Tanzania pekee duniani yenye mkataba wa Intergovernmental Agreement na Emirate ya Dubai.
Kumbe mkataba huu hauwezi kuvunjwa, zile disputes zinazoweza kutokea wakati wa utekelezaji wa projects zitakazopelekwa South...
Nimedokezwa kuwa huko CIA na MOSSAD wao Kipaumbele chao kwa wanao wa recruit ni Akili za Kuzaliwa nazo pekee na hizo za Kitaaluma (za Darasani) nenda Katambe nazo kwa Washamba Wenzako huko Kijijini Kwenu.
Na nimedokezwa pia nchi zingine nyingi (hasa Barani Afrika) ila Tanzania haipo Wao ili uwe...
Ukiangalia kwa makini utaona kwamba wakati Sasa umefika wa kuwa na Serikali itakayosimamia maslahi ya watanganyika pekee.
Kama maslahi ya wanzibari yanasimamiwa na Serikali ya Zanzibar ni kwa nini basi kusiwe na Serikali itakayosimamia maslahi ya Tanganyika?
Wakati mgogoro wa Ukraine ukiendelea kwa mwaka mmoja na nusu sasa, huku nchi za magharibi zinaonekana kuendelea na nia yake ya kuchochea mgogoro huo na kutaka utatuliwe kwa njia ya kijeshi, China na nchi za Afrika zimeonekana kupendelea zaidi mgogoro huo kutatuliwa kwa njia ya amani, hasa...
Ndugu zangu mimi ni mtanzania, ila watanzania tunahitaji mabadiliko makubwa sana hasa kwenye sekta ya ajira.
Watanzania tunaringa, wavivu japo siyo wote ila asilimia kubwa tupo hivyo, nenda kwenye mabank, hosptalini, nida, manispaa, tra kwenye viwanda nakadhalika, aiseeh utachoka.
Alafu umkute...
Kwenye group Moja hivi member mmoja amenihoji naongea sana kuhusu Bandari kwani ni yangu? Kwa kweli nimechukia sana.
Nina hasira sana naomba kushusha hasira zangu hapa.
Jamani kitu ambacho hamjui Bandari ni mali ya umma maana yake umma ni Mimi na wewe ndio umma. Kwahiyo Tukihoji Maslahi ya...
Habari!
Wengi wanajitahidi kusema ukweli na wengine kukemea viongozi. Lakini karibu wote wanatumia indirect way (kuzunguka zunguka) ila huyu Mbarikiwa Mwakipesile hazunguki anakwenda moja kwa moja.
Kumetokea Kasumba ya Watengeneza Sera kuwa Wauza Sura na Wapiga Brah Brah; Kama vile walivyo wapiga ramli wanatafuta mchawi kwa kuwaambia wadau makosa ni yao kwa kutokufanikiwa...
Wanasema kila kitu ni Biashara kana kwamba vingine vyote havina maana; Yaani hata Timu sababu Mfungaji ndio...
Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, Tedros Adhanom Ghebreyesus ambaye ameeleza kuwa 30% ya Watoto hao wanapoteza maisha kwa kukosa Matibabu.
Amesema 25% tu ya Watoto wenye Saratani katika Nchi zenye Kipato cha Chini wanapata Huduma Sahihi za Kiafya kulingana na...
Watanzania wenzangu naomba niwaambie siku, zote Uchungu wa mwana aujuaye mzazi katika hali zote na nyakati zote ambazo mtoto anapitia, na ukiona mzazi huyo anamkimbia mtoto wake wakati wa shida basi huyo hafai kuwa mzazi bora, bali mzazi bora atapimwa kutokana na malezi bora kwa mtoto pasipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.