"Yanga ndio tegemeo pekee la Tanzania kimataifa, Watanzania wana imani na Yanga inaweza kuleta Kombe la CAF msimu huu, sio timu inashiriki kimataifa ikifaka Robo ishachukua Ubingwa, tutoke huko kwenye mpira wa kizamani,” Edo.
Dauda “Kufika Robo Fainal ni Progress sio achievement.”