Tungali tunaendelea na ule mwezi mtukufu wa Mungu , ambao ni mwezi huu wa 3 , fuatilia simulizi hii ya Nyalandu
Pamoja na ukweli kwamba Nyalandu alirejea ccm baada ya Jiwe kuondoka , lakini bado Ukweli uko wazi kwamba ndiye Mwanaccm pekee aliyepinga Udikteta wa kishamba wa Jiwe hadharani ...
YANGA NDIO TIMU PEKEE YA TANZANIA AMBAYO INAWEZA KUCHEZA NA MAMELOD SUNDOWNS
"Daraja la ubora wa Mamelodi liko juu zaidi kuliko Yanga, lakini ukitazama mara ya Mwisho Mamelod kubwa bingwa ni 2016 toka hapo Amefika Nusu fainali mara mbili tu, mara zote amekuwa akiishia hatua ya robo fainali...
Salam wana JF!
Kuna sintofahamu kubwa imeibuka miongoni mwa watumishi wa umma hasa wale wa kada zingine tofauti na walimu. Hii ni kutokana na namna serikali inavyoonyesha ubaguzi katika kushughulikia kero za walimu dhidi ya kero za watumishi wengine, Mfano kwa miaka miwili mfululizo sererikali...
Hata Bwawa la JNHP likamelike na kutoa Mw 2100 bado watafanya mchongo kuliibia taifa. Mfano watatengeneza mgawo na kupiga kupitia hata ukarabati wa njia. Japokuwa unatakiwa kuwa endelevu.
Sukari huwa dili la mafisadi wa CCM na wafanyabiashara wakubwa ambao uhaba ukiwepo huagiza Sukari kwa bei...
Kwaresma ni kwa baadhi ya wakristo sio wote, wakristo wa makanisa kibao hawana habari nayo, Ramadhan ni kwa waislam wote.
Ramadhani huwa inapewa uzito hata na serikali, huwa kuna hafla kibao za iftar zinaandaliwa na viongozi wa serikali hata walio wakristo
Ramadhan inakutanisha waislam wengi...
MAREKANI: Nyota wa Mpira wa Kikapu, LeBron James amevunja rekodi yake mwenyewe kwa kuwa Mchezaji wa kwanza wa Mchezo huo kufikisha Pointi 40,000 katika historia ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Kikapu nchini humo (NBA)
Mwaka 2023, 'King James' anayeichezea Los Angeles Lakers alimpita nyota...
Njia mashuhuri ya meli za kibiashara ya Suez Canal kutokea red sea ni kama kwamba imefungwa kutokana na mashambulio ya Houth.
Meli peke zinazopita bila wasi wasi ni zile zinazotoka ama kuelekea Iran.Nyengine ni zile zinazotoka ama kwenda bahari nyeusi ambako ndiko ziliko bandari kubwa za...
Ni hali ambayo ni ayo kwa muda mrefu. Mwanamke bila kumtomasa tomasa, kukiss, Na baadhi yao kusex siwezi kuwa free kuzungumza au kuwa rafiki yake kwa uhuru.
Mungu amemjalia maisha marefu mzee wetu huyu, mpaka sasa anaikaribia miaka 100.
Pamoja na kuwa tunasema ni kwa neema na kudra za mwenyezi Mungu lakini nina uhakika kuna mambo huwa anaepuka kuyafanya ama huyafanya kwa kiasi mpaka kuufikia umri huu.
Basi ni muda umefika mzee wetu aulizwe ili...
CHADEMA kuweni wepesi wa kunusa na kujua ishu rahisi ambazo ni kero kwa wananchi na mzitumie ipasavyo ku - instigate hasira kwa wananchi ili waichukie na waingushe serikali hii haramu kupitia maandamano yanayoendelea nchi nzima..
Umeme kwa sasa ndiyo kero namba moja kubwa Kwa sasa...
Siku zote nawaonaga maDj wa bongo miyeyusho na tofauti sana na madj wa wenzetu. MaDj wa wenzetu huko mbele hutoa album, humix beats na kufanya kolabo na wanamuziki mbalimbali. Mdj wetu wengi (kama siyo wote) kazi yao kubwa ni kupiga playlist. Udj wa kimchongo mchongo. Kaja huyu bwana Mdogo Misso...
Wadau hamjamboniInafahamika wazi Ibrahimu baba yetu wa Imani alikuwa na Watoto kadhaa akitangulia Ishmael aliyekuwa mkubwa Isaka na Watoto wengine aliozaa na Ketura mke aliyemuoa baada ya kufiwa na Sara ambao ni Zimrani, na Yokshani, na Medani, na Midiani, na Ishbaki, na Sua
Nimepitia...
Nilimsikia Fred Lowassa katika salaam zake za rambirambi pale Karimjee Hall, akitoa shukurani zake za dhati Kwa Rais Samia Kwa matibabu ya Baba yake, Hayati Edward Lowassa na kwenda mbali zaidi Kwa kutamka kuwa kama siyo Kwa msaada mkubwa aliotoa Rais Samia, baba yake asingeweza kufikia majuzi...
WACHEZAJI PEKEE WANAOCHEZA LIGI KUU TANZANIA AMBAO WAMEWAHI KUWEMO KWENYE KIKOSI CHA TIMU YAP YA TAIFA IKITWAA UBINGWA WA AFRICA. LOMALISA WAZIRI WA MAJI. NA YANNICK BANGALA LITOMBO MZEE WA KAZI CHAFU
Ebwanaee nilikuwa napitia stats za Joyce LOMALISA Mwaka 2016 alibeba ndoo chan 2016...
Nchi zingine zote za Afrika Mashariki zimesharuhusu. Imesalia Tanzania peke yake.
Kwa nini imeamua kujitofautisha? Labda ina akili kuliko nchi zingine zote zilizoruhusu au kinyume chake?
Ya kwanza kuruhusu uraia pacha ilikuwa ni Burundi, mwaka 2000.
Mnamo mwaka 2003, Rwanda nayo iliweka...
1. Nchonyo-sehemu ya haja kubwa
2. Mwandu-uke
3. Kifuku-masika
4. Kureresa-hali ya pombe kutokuwa kali kuwa tamutamu
5. Kukaruka-pombe kuChacha yaani kuwa kali iliyochangamka
6. Kuhemwa-kunyeshewa mvua
7. Manda-wali
8. Mweche(ukwale)-hamu
Narudia tena na tena kusema " Ni wajinga pekee ndio watazisifia drama za Makonda".
Mtu anatumia billions of money kuzunguka Tanzania ilhali hana uwezo kimamlaka wa kutoa hata tone la maji kwa wananchi halafu watu wanamshangilia.
Ujinga huu huwezi kuuona nchi yoyote isupokuwa Tanzania, nchi...
"Kama nchi yetu ya Uganda imebarikiwa Ardhi yenye Rutuba, Hali ya Hewa nzuri na Mazingira rafiki ya kumfanya Mkulima kwenda Shambani Kulima na akapata Chakula cha kutosha nikisikia kuna Waganda wanalia na kulalamika Njaa watakuwa ni Wapumbavu mno na hawastahili Kusaidiwa au hata kuonewa Huruma"...
Salaam Watanzania Wenzangu.
NI baelezee.
Afrika kulikuwa na magonjwa mengine ya kawaida tu, kama vile Kifua kikuu, Ukoma, Na ugonjwa wa Usingizi.
Magonjwa haya hayakusababisha vifo vya halaiki kama magonjwa waliyo kujanayo Wazungu kwasababu hayakuwa yameenea sana au yalikuwa hatari kama yale...
Wakuu,
Baada ya polisi kutoa tamko la maandamano kufanyika nchini, kila kona ni sifa tu kuwa 4R zimefanyiwa kazi, demokrasia imekuwa nchini, mama ametenda na kadha wa kadha, huku pongezi za akina Mbowe, Sugu zikitumika kama rejea ya kuwa hata wapinzani wenyewe wanakubali kuwa sasa Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.