Napenda kutoa pendekezo muhimu kwa Waziri wa Afya na Waziri wa TAMISEMI kuhusu mchakato wa ajira katika sekta ya afya nchini.
Pendekezo langu linahusu kuanzishwa kwa mitihani ya usaili kwa waajiriwa wote wa Ajira za afya kabla ya kuajiriwa. Hatua hii itakuwa na lengo la kuboresha viwango vya...
Pendekezo la Mradi yaani "Grant/Business Proposal" ni andiko linaloonyesha hitaji (need), fursa (opportunity), au tatizo (problem) lenye kuhitaji kuchuliwa hatua. Mmiliki wa tatizo, fursa au hitaji anaweza kuwa Taasisi, Kampuni, Jamii au hata mtu mmoja mmoja. Kupitia Pendekezo la Mradi...
Marekani, Ujerumani na Hungary zinapinga majaribio ya Poland na mataifa ya Baltic la kuipatia Kiev "mpango" wa kuwa mwanachama wa NATO katika mkutano wa kilele wa NATO wa Julai.
Washington ina wasiwasi kwamba kuzidisha uhusiano na Kiev na muungano huo wakati wa vita kunaweza kuchangia katika...
"Naamini mwaka huu tutakuwa na ongezeko la Mashirika yanayotoa gawio, Mashirika yasiotoa gawio lazima tutumie sheria kuhakikisha yanatoa au yanaondoka, Msajili wa Hazina simamia hili. Taasisi zote zinazotakiwa kutoa gawio, zifanye hivyo kabla ya mwezi wa saba, haiwezekani hadi Jeshi limetoa...
Tunapoelekea katika hio siku muhimu ya kuenzi kifo cha JPM, ni vyema huu mwaka Mh SSH akaitangaza rasmi hio siku kuwa sikukuu ya kitaifa, ili kuenzi mema na makubwa kabisa aliyo yafanya Hayati Dr. Magufuli.
17 march: Magufuli Day
Kwenu wakereketwa...
1.Summary
Katika ngazi ya wilaya, kuna viongozi wanne wazito. Mkuu wa wilaya, mkurugenzi na mwenyekiti wa halmashauri na Mbunge. Na mara nyingi Kumekuwa na Mikanganyiko ya kutofautisha nafasi hizi na umuhimu wa kila mmoja katika nafasi yake.
Daima swali linakuwa ni nani kati yao mwenye...
Kwenye mada straight wadau nataka kuchagua kuvuta jiko hitajika la kuishi nalo nataka mtoto wa pwani nshapata inbox kama 50 chuguo langu nataka chombo Cha pwani,kwenye sampuli kuna wafuatao.
1. Mluguru
2. Mkwere
3.Msagara
4.Mzigua
5. Mzaramo
6.Msambaa
7.Mbondei
8. Mdigo
9. Mjikenda
10...
Kwa rejea ya pendekezo la Abdul Nondo kuhusu majanga na desirable responsiveness and proactive plans za kimamlaka, nimeanza na brainstorming ya jina la chombo hicho, karibuni wadau kwa maoni mbali wizara mama mlezi iwe ipi na kwanini.
Hayo machache. nawasilisha wakuu.
Nashauri hivyo ili kuliongezea jiji la Dar eneo kijiografia pia wilaya hizo ni kama zimejitenga kimkoa wa Pwani na wilaya zingine
Nashauri mkoa wa Pwani ubaki na wilaya za Mkuranga, Kisarawe, Kibiti, Rufiji, na Mafia
Kwa vile Tanesco haina fedha za kutosha kusambaza umeme kwa wahitaji wote na kwa muda muafaka napendekeza ifuatavyo:
1. Watu ni wagumu kuchangia kupata huduma ya umeme. Akitokea mtu/watu wakajitolea kuvuta umeme, basi wengine ambao wamegoma kuchangia kuvuta umeme huo, wasiwekewe umeme mpaka...
Leo kuna pendekezo limetolewa bungeni ambalo uwezekano wa kutekelezwa kwake ni mkubwa, pendekezo hili lita athiri sana hasa watu wa tech ambao matumizi yao ua internet ni makubwa.
Aliependekeza Si mwengine bali ni Zungu naibu spika wa bunge letu ambae aliwahi kupendekeza pia kuwe na tozo kwenye...
Kwanza nimefurahishwa sana na matokeo ya leo kati ya timu ya Uganda na Taifa Stars.
Kwanini Taifa Stars tusiite Mandonga Stars jamani kwa matokeo makubwa zaidi?
Kama kweli inatupenda itulipie kesho gharama za internet ili tutumie tuwezavyo siku nzima pia ilipie vifurushi vya premium vya Tv kwenye visimbuzi vyote ili tusiboreke kuwasubiri makarani.
Vinginevyo tutapata stress tushindwe kujibu maswali kwa ufasaha.
Tafadhali mama hebu jaribu kutudekeza...
Mtu anayebadili pesa za Kigeni huyo si mnyonge hata kidogo, bali ana excess (nyongeza) hivyo napendekeza pawepo TOZO kila mtu anapobadili pesa za Kigeni ili kupata pesa za Kujenga na kuendeleza huduma za Jamii nchini.
NB: Maduka/Benki zihakikishe hakuna transaction bila National ID/Passport
Wakati waziri wa fedha anawasilisha bajeti ya serikali kwa mwaka 2022/2023 alipendekeza kama njia ya kubana matumizi kuwa mtu akitenguliwa kwenye nafasi ya uteuzi na akarudia nafasi yake ya awali, basi na mshahara utenguliwe ili apate unaolingana na nafasi aliyokuwa nayo kabla ya uteuzi. Kwa...
Waziri anayehusika na Mipango wa Pakistani amependekeza kuwa wananchi wapunguze unywaji wa chai kwa kuwa Serikali hutumia fedha nyingi kuingiza chai kutoka nje ya nchi, pendekezo hilo limesababisha hasira ya wananchi dhidi ya serikali na kusema kuwa uchumi umedorora kutokana na serikali kuwa na...
Nimefuatilia hotuba ya Bajeti ya mwaka 2022/2023 na kwenye kipengele kinachosema kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa basi arudi kupokea ule mshahara aliokuwa anapokea kabla ya uteuzi. Hili ni pendekezo.
Binafsi sikubaliani kabisa na pendekezo hili. Mhe. Waziri usije ukaleta vurugu...
Caroline Nassoro
Mwaka 2013 rais Xi Jinping wa China alitoa pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja". Mwezi Septemba mwaka 2013, rais Xi Jinping wa China, akiwa nchini Kazakhstan, alitoa mpango wa ujenzi wa ukanda wa kiuchumi wa "Njia ya Hariri", na mwezi Oktoba mwaka huo huo, akiwa nchini...
Mimi ni mkristo. Nimewahi kushiriki kama wiki nzima kushiriki Mfungo huu.
Asubuhi SAA 9-11 tulifuturu Msosi mzito. Wali, nyama,samaki,tambi,uji,juice,matunda mbalimbali, maji ya kunywa, mboga za majani na Kachumbari mzigo.
Jioni SAA 12 tulifuturu vitu simple simple tu futari.
SABABU KWA NINI...
"Kura hukomesha mashindano; Hukata maneno ya wakuu"
Mithali 18:18
Mara nyingi kumekuwa na kawaida kwa vyama vikuu vya pinzani na Chama kinachotawala kuvutana na kutokukubaliana kabla au baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa, iwe Tanzania bara au Tanzania visiwani.
Mara zote hizi lawama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.