Sasa bodaboda au Bajaj hawaruhusiwi hata kuonyesha pua mjini maeneo maalumu yaliyotengwa.
Ukipenyapenya kwa ujanja ujanja ukidakwa utajuta kwanini ulizaliwa.
Oyaa tafuteni kazi nyingine.
Kufa kama nzi mnakufa
Bima ya afya hamna
Michango kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii hamna .
Amkeni.
Wakuu Ikumbukwe hakuna formula.Usiige na tusiigane.
Niliwahi pendwa sana na muuza duka jinsia ya kike asee kisa na mkasa nilikuwa na tabia ya kusema ahsante sana kila anapo nihudumia.
Ni umri wa makamo kiasi kwamba anaweza kuwa mama bila shaka kabisa. Huyu maza alinielewa sana akaona isiwe...
Naomba niwakumbushe tu hawa wenzetu kuwa
Sababu mojawapo kubwa kabisa inayofilisi mashirika ya ndege ni kuto kuaminika. Kuaminika maana yake ni kuwa na ndege ambayo abiria hana uhakika kama itasafiri, lakini muhimu zaidi, itasafiri kwa wakati uliopangwa kwenye ratiba. Hii ni kwa sababu, watu...
Bei ya Grand malt iliyozoeleka ni elf 2 na mia tano lakini sikuhizi kuna maduka unapata kwa elf 2
Nilianza kununua za elf 2, Sijajua kama koo na ulimi wangu vina matatizo lakini nahisi kuna vitu vimepungua kuanzia ladha, ubaridi, gesi, jinsi inavyopita kwenye koo, n.k.
Nimeanzisha uzi huu...
Habari wakuu,
Katika matumizi ya vifaa vya kieletroniki basi huwa kuna style tofauti za maandishi hutumika au huwekwa humo na watengeneza vifaa hivyo.
Ila kwa baadhi ya vifaa hivyo mfano simi za mkononi basi watumiaji huwa na uhuru wa kubadilisha hizo font style.
Mimi binafsi once natumia...
Huyu pamoja na kuwa ni mchungaji lakini kisiasa ni kiongozi yaani ni mbunge wa Kawe.
Amepiga verse za kutosha na kwa lugha ya Alama ametutajia mtekaji mkuu kuwa ni yule aliteka studio za TV na akamteka mwanamuziki.
Huyo mtu ni mtoto pendwa wa #1 na toka amrudishe kwenye system matukio...
Mnaendeleaje huko?
Mtoto pendwa anamtuhumu mwamba kuuza siri za bi mkubwa kwa wana waliotimuliwa majuzi.
Mtoto pendwa ameenda mbali zaidi kwa kudai mwana anajipatia mamilioni ya frw kwa kuwaunganisha kina watakaye ili kumuona mama Wau.
NB: Picha hapo juu ni ya mmoja wa wasaidizi wa Rais.
"....kaka, Mary mda wowote ataundiwa zengwe na kutupwa nje ya uringo. Si una kumbuka alimshikia bango dogo kuhusu wanawake kudhalilishwa kule mkoani? Basi bwana, kumbe dogo hakufurahishwa! Na mama mtu alimwambia dogo akaushe dawa yake ipo jikoni."
"....sasa mbaya zaidi imegundulika Mary alikuwa...
Hii mada inawahusu wanywaji tu.
Tangia Serengeti ibadilishe bia ya Serengeti larger yenye makaratasi meusu na kutuletea nyingine yenye makaratasi ya njano sio tu imebadilishwa meoneko Bali pia na ladha imebadilika.
Ladha mpya sio tu haina msiaimko Bali inakera naomba Serengeti wanrudishe...
Habari za usiku wanaJF , ndugu zangu naomba nipate msaada kutota kwenu.
Mara nyingii nyakati za usiku nimekuwa nikiota ndoto nikiwa naongoea na watu waliokufa hasa baba yangu mzazi na mdogo anaenifuata. hawa wote ni wafu,
Mdogo wangu alitangulia kufarikiriki December 2010 kipindi hicho mimi...
Bei ya Hisense smart tv
32" - 380,000
40" - 580,000
43"- 650,000
50" - 899,000
55"- 1000,000
58"- 1,200,000
Warranty mwaka mmoja (miezi 12)
Tv mpya dukani karibuni, location Mwenge.
WhatsApp number 0753430357
Nitakuwa mchoyo wa shukrani na pongezi nisipoandika uzi huu wa kuwashukuru na kuwapongeza kwa dhati makada na viongozi wa CHADEMA kwa kukitangaza bure Chama Cha Mapinduzi kupitia majukwaa yao mitandaoni.
Kila CCM inapofanya jambo lake huwa viongozi na makada wa CHADEMA hupost kwenye pages zao...
Leo jumatatu katika kipindi cha Dakika 45 cha ITV kinachoongozwa na Farhia Middle aliyekuwa Waziri wa Kilimo na pia kada maarufu wa CCM amekiri kuhujumu katiba ya Warioba ambayo ilipendekeza serikali tatu.
Itakumbukwa Kimiti alikuwa mjumbe wa Tume ya Warioba iliyozunguka nchi nzima kutafuta...
Zipo baadhi ya hospitali binafsi ambazo ziliwahi kubebwa sana na Serikali na hatimaye zikapata faida kubwa na kujiimarisha.
Zipo baadhi ya hospitali zilianza kama hospitali za kujitolea yaani Charitable hospitals lakini leo zinaingia kwenye mkumbo wa kishabiki.
NHIF amehusika kukuza hospitali...
Hii Channel imenishika sana. Kila jumatano na jumapili lazima niitizame. Ndiyo Jua kai yangu. Channel gani yako pendwa zaidi ya you tube kwa sasa?
https://youtu.be/WEQOhC-kRAE?si=sDEs7bW1MdsxNJmh
Waslaam wana JF
Kwa wale wazeee wa ma-lovey dovey dovey hii ni sikukuu pendwa sana kwenu
Binafsi, ninafikiria kwenda kusherekea na watoto yatima, nataka nitoe sadaka ya vitu mbali mbali kwa watoto yatima ili upendo wa Mungu uendelee kuwa nao
Asanteni
Tujikumbushe Movie Pendwa na mabanda umiza ya video wakati huo miaka ya 80-90 wa screen chogo na VHS. Nakumbuka wakati nikiwa Mbeya Kuna sehemu ilikuwa inatwa kwa Mponzi watu walikuwa wanavaa hata hewa hamna sehemu nyingine panaitwa K.K.K kwa Mzee mmoja alikuwa anaitwa Mwakilembe ya Yasini huko...
Kiongozi wa mwisho aliyefanya mdahalo kwa kujiamini bila woga alikuwa ni hayati Benjamini Mkapa baada ya hapo waliofuatia wote waliingia mitini na sababu mbali mbali.
Imenikumbusha aibu ya mdahalo wa mchakato majimboni mpaka kupelekea mkurugenzi wa TBC komredi Tido kuvurumishwa na kupewa kesi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.