Rais Samia nimemaliza kumsoma na kuelewa mbinu anazotumia ktk uongozi wake. Anatumia 4U (Uongo, ulaghai, ucheleweshaji na upotoshaji), na siyo 4R kama alivyoutangazia umma. Nitatoa mifano ktk kuelezea hoja yangu.
Mfano wa kwanza
Aliudanganya umma (uongo) kwamba anataka 4R ili kuwepo na...
Awali ya yote niwape salamu mbiu Tabuleleeee (itikia Laaaaaa).
Hii ni baada ya matokeo ya jana tarehe 5-11-2023, 1-5. Mashabiki wenzangu wa Simba naomba tuwe wavumilivu katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo.
Hili ni pito ambalo hata Yanga alipitia kwa miaka mi4 mfululizo. Turudi kwenye...
Kutokana na tatizo la ajira kuwa kubwa tunashuhudia vijana wengi kujiingiza katika shughuli mbalimbali wengi wapo kwenye bodaboda na kundi kubwa pia limejiingiza kwenye udalali wa aina mbalimbali.
Kwa jinsi bodaboda wanavyotambuliwa kwa vyombo vyao tunaiomba serekali yetu iwatambue madalali...
1. Morocco
2. DR Congo
3. Zambia
Kwanini?
Ni Timu ambazo zinacheza Mpira wa Kuvutia, wa Kisasa na kuna Vipaji vikubwa na Vingi.
Pia ni Timu ambazo Makocha wake hawafichi Vikosi vya Wachezaji wao kwa Wananchi ili Visijadiliwe na Visikosolewe na Wadau.
Lakini pia ni Timu ambazo hazitumiki na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.