pensheni ya uzeeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Katibu Baraza La Wazee Arusha: Mbunge miaka 5 analipwa hela nyingi kuliko mtumishi aliyetumikia miaka 40

    Katibu wa Baraza la Wazee wa Jiji la Arusha, Mzee Amimu Ngalawa, ameomba serikali kuongeza kiwango cha pensheni kwa wastaafu, akisema kiasi wanacholipwa ni kidogo na hakiendani na muda waliotumikia kulinganisha na marupurupu wanayopata wabunge baada ya kuhudumu kwa miaka mitano pekee...
  2. Nigrastratatract nerve

    Kuwepo kato la lazima la 10% la watumishi katika mishahara yao kama huduma kwa wazazi na 10% ya pensheni ya uzeeni kwa wazazi

    Serikali itunge sheria ya kukatwa mshahara kwa 10% waajiriwa hela hii ielekezwe kwa wazazi na kama wazazi hawapo pesa hii ielekezwe kwenye mfuko wa familia ya mwajiriwa.
Back
Top Bottom