Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, leo Novemba 10, 2025 ameahidi kuongeza maradufu pensheni kwa Wazee Wastaafu kuanzia miaka 70 visiwani humo.
"Wazee wote wanaofikia umri wa miaka 70 wataendelea kupatiwa pensheni jamii. Ahadi yangu ni kuongeza kiwango...
Salaam!
Hayo yamesemwa Leo na kamanda John Heche makamo mkt wa CHADEMA taifa akiwa kahama.
Yaani ikiwa hujaelewa ni hivi, mtanzania yeyote awe boda boda, machinga, muuza mchicha, mkulima ,mfanyabiasha ,mlemavu nk nk, ukifikisha miaka 60,utalipwa pensheni ya uzeeni sababu ulishiriki kuijenga...
Katibu wa Baraza la Wazee wa Jiji la Arusha, Mzee Amimu Ngalawa, ameomba serikali kuongeza kiwango cha pensheni kwa wastaafu, akisema kiasi wanacholipwa ni kidogo na hakiendani na muda waliotumikia kulinganisha na marupurupu wanayopata wabunge baada ya kuhudumu kwa miaka mitano pekee...
Serikali itunge sheria ya kukatwa mshahara kwa 10% waajiriwa hela hii ielekezwe kwa wazazi na kama wazazi hawapo pesa hii ielekezwe kwenye mfuko wa familia ya mwajiriwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.