PreGE2025 Heche: CHADEMA ikiingia mamlakani baada ya reforms kufanyika, kila Mtanzania mwenye miaka 60 atalipwa pensheni ya uzeeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam!

Hayo yamesemwa Leo na kamanda John Heche makamo mkt wa CHADEMA taifa akiwa kahama.

Yaani ikiwa hujaelewa ni hivi, mtanzania yeyote awe boda boda, machinga, muuza mchicha, mkulima ,mfanyabiasha ,mlemavu nk nk, ukifikisha miaka 60,utalipwa pensheni ya uzeeni sababu ulishiriki kuijenga nchi yako kwa miaka yote kabla ya kuzeeka.

Ikumbukwe CHADEMA ya John Heche pia iliahidi kupiga marufuku michezo ya kubahatisha,kamari Ili kuondoa ujinga wa kudhani MAISHA ni bahati ilhal SI kweli.

Sasa Ili ahadi hiyo itimie, Kila mtanzania na aunge mkono hoja ya NRNE Ili kuzuia uchaguzi batili usifanyike kwa maandamano Hadi pale reforms zitapofanyika kupata Tume huru ya uchaguzi.

Usiache kufuatilia mikutano hii ya ukombozi wa nchi yetu.

Mungu Mbariki John Heche,

Mungu ibariki CHADEMA,

MUNGU ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿

Karibuni 🙏
 
Mtu hata kazi ya maana hajawahi kufanya

Ndumuz za chakandumuz Hatari sana
 
Ahsannte Heche kwa kusoma JF na kuchukua maoni ya wananchi,

Mambo haya tumeyasemea kitambo sana.

Tunawapenda viongozi wasikivu, wenye kujua wananchi tunataka nn!

Ubarikiwe 🙏
 
Inawezekana kabisa hizi pesa wanapewa G-55 na miradi yote ya kuua upinzani kwa mwaka ni bilioni ngapi? Zinashindwa kulipa wazee million 2 wenyewe miaka zaidi ya 60 angalau 100k kwa mwezi?

Hii nchi Ina pesa za kuchezea lakini pesa ya mambo ya msingi hakuna

Imagine mtu anapewa million 200 kisa kujiondoa chadema halafu mzazi kujifungua anaambiwa akanunue groves anatukanwa matusi

Matokeo ya kuwa nchi ya wajinga wengi!! wanaozaa Viongozi wengi wajinga wajinga na kuwa na kizazi Cha haiwezekani
 
Salaam!

Hayo yamesemwa Leo na kamanda John Heche makamo mkt wa CHADEMA taifa akiwa kahama.

Yaani ikiwa hujaelewa ni hivi, mtanzania yeyote awe boda boda, machinga, muuza mchicha, mkulima ,mfanyabiasha ,mlemavu nk nk, ukifikisha miaka 60,utalipwa pensheni ya uzeeni sababu ulishiriki kuijenga nchi yako kwa miaka yote kabla ya kuzeeka.

Ikumbukwe CHADEMA ya John Heche pia iliahidi kupiga marufuku michezo ya kubahatisha,kamari Ili kuondoa ujinga wa kudhani MAISHA ni bahati ilhal SI kweli.

Sasa Ili ahadi hiyo itimie, Kila mtanzania na aunge mkono hoja ya NRNE Ili kuzuia uchaguzi batili usifanyike kwa maandamano Hadi pale reforms zitapofanyika kupata Tume huru ya uchaguzi.

Usiache kufuatilia mikutano hii ya ukombozi wa nchi yetu.

Mungu Mbariki John Heche,

Mungu ibariki CHADEMA,

MUNGU ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿

Karibuni 🙏
Hii nchi ni tajiri
 
Inawezekana kabisa hizi pesa wanapewa G-55 na miradi yote ya kuua upinzani kwa mwaka ni bilioni ngapi? Zinashindwa kulipa wazee million 2 wenyewe miaka zaidi ya 60 angalau 100k kwa mwezi?

Hii nchi Ina pesa za kucezea lakini pesa ya mambo ya msingi hakuna
Inawezekana,

Sababu malipo hayo yakifanyika, yatachangamsha uchumi na biashara Kisha serikali itapokea Kodi ambazo ni mapato yatayorudi Tena kuwalipa pension.
 
Makondakita wa daladala kama wewe ni mtu wa dini ya kweli wanaweza kukutoa machozi inaonekana hawana wa kuwasemea kabisa sio sumatra wala wabunge wengine wanavaa ndala zimekatika.
 
Mfano waendesha guta hulipa 120k kwa mwaka,

Sasa TRA wamewapandishia kinyemela mapato Hadi 250k bila kuppitisgwa bungeni wala kupata maoni ya wadau.

Nani wa kuwasemea?
 
1,380,000,000,000 kwa mwezi zidisha mara miezi 12 hao ni wazee tu.
Yaani 16,560,000,000,000 kwa mwaka.

N.B kima cha chini kama fedha ya pensheni ni 500000.
hizo fedha zitatoka chanzo kipi cha kodi??
hii ni sawa na ahadi ya ubwabwa ya Hashim Spunda
 
Kuongea ni rahisi sana Heche. Miaka Yako 10 ya ubunge embu tueleze initiative yoyote uliyoanzisha au kufanya ya kusaidia watu.
Subiri wananchi waipe CHADEMA hatamu ya uongozi ndipo tiwapime kama ni waongo au la.

Ccm tumeshaizoea,

Tunataka watu wapya, chama kipya uongozi mpya maana SI DHAMBI.
 
Back
Top Bottom