PreGE2025 Heche: CHADEMA ikiingia mamlakani baada ya reforms kufanyika, kila Mtanzania mwenye miaka 60 atalipwa pensheni ya uzeeni

PreGE2025 Heche: CHADEMA ikiingia mamlakani baada ya reforms kufanyika, kila Mtanzania mwenye miaka 60 atalipwa pensheni ya uzeeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
1,380,000,000,000 kwa mwezi zidisha mara miezi 12 hao ni wazee tu.
Yaani 16,560,000,000,000 kwa mwaka.

N.B kima cha chini kama fedha ya pensheni ni 500000.
hizo fedha zitatoka chanzo kipi cha kodi??
hii ni sawa na ahadi ya ubwabwa ya Hashim Spunda
We ni mwendawazimu, inashindikana ni nini kuwalipa wazee laki 1 kwa mwezi? Mbona Zanzibar wameweza? fedha zinazoibwa pamoja na bunge fake kulipana posho nono ni nini kinashindikana?
 
We ni mwendawazimu, inashindikana ni nini kuwalipa wazee laki 1 kwa mwezi? Mbona Zanzibar wameweza? fedha zinazoibwa pamoja na bunge fake kulipana posho nono ni nini kinashindikana?
Kwa hiyo pensheni ni laki moja?
 
Huna akili, wazee pension zao ni shs ngapi waliokuwa watumishi wa miaka ya nyuma? kwani ikiwekwa sheria kila mzee apate laki 1 nini kinashindikana?
Hawezi kukueleqa uyo..akili za ki ccm ,elimu duni ,vyeti vya kupika,njaa na ulafi..hii ndiyo nature ya wana ccm
 
Back
Top Bottom