Katibu wa Baraza la Wazee wa Jiji la Arusha, Mzee Amimu Ngalawa, ameomba serikali kuongeza kiwango cha pensheni kwa wastaafu, akisema kiasi wanacholipwa ni kidogo na hakiendani na muda waliotumikia kulinganisha na marupurupu wanayopata wabunge baada ya kuhudumu kwa miaka mitano pekee...
Serikali itunge sheria ya kukatwa mshahara kwa 10% waajiriwa hela hii ielekezwe kwa wazazi na kama wazazi hawapo pesa hii ielekezwe kwenye mfuko wa familia ya mwajiriwa.