penzi

Sumu la Penzi is a Kenyan Swahili, melodrama that premiered in 2013 in Africa Magic Swahili. It has Serah Ndanu, Joyce Maina, Naomi Ng'ang'a and Judith Nyambura as the female leads.

View More On Wikipedia.org
  1. Maleven

    Huku kwenye ndoa wake zetu wanatuuzia penzi

    Kuna umalaya au udangaji unaendelea kwenye ndoa. Yani ule muda unaomba tendo la ndoa, ndio mke anakukumbushia kitu ambacho ameomba au anakwambia nimechoka, au kama wataka umpe hela. Ni jambo gumu sana kulifikiria lakin hakuna jinsi ndio uhalisia, inafika wakati unajua kabisa kua umeoa mtu...
  2. Forrest Gump

    Sioni mantiki yoyote mwanamke asiekuwa mwenzi wako wa ubani eti utumie zaidi ya tsh 10,000 kupata penzi lake

    Yani mnapangiwa bei utafikiri anakuja yuko sealed wakati anakuja huku amekuwa fabricated siku nzima na anakutungia hisia kuwa umemuweza alafu baada ya wazungu kushangilia, unavaa zako suruali huku umepanda dala dala unajiuliza na kujilaumu was it worth it kutumia 50,000? Economic value ya kitu...
  3. Mshangazi dot com

    Unaua msichana kisa umenyimwa penzi, daah upwiru ni hatari sana!

    Nimeamka na kuona hii habari, alichokifanya huyu kijana kinasikitisha. Amekatisha uhai wa huyu binti angali mdogo na amejiharibia future yake maana ataenda gerezani maisha. Eti wanajamvi, hii tamaa ya mbususu inaweza kukufikisha kwenye hatua hii?
  4. Maleven

    Kama Wake zetu wangejua wanapotunyima penzi tunakua na hasira kiasi gani, wasingejaribu hata kidogo

    Inatia hasira sana unaponyimwa haki na mke wako wa ndoa, wao hawajui tu ni kiasi gani tunakua na hasira. Halafu mtu amelunyima anakuuliza, "umekasirika" Sasa unajiuliza hivi huyu anaakili kweli? Au huwa wanaona hilo ni jambo dogo? Kama unaamua kumnyima mtu unamnyima ila usianze kuongea...
  5. Pdidy

    Penzi likiisha badilisheni kitanda mashuka ikiwezekana nenda HATA Nje ya nchi Katoe stress

    Wassalahm allheikhum Wote kwa wnaoendelea na mateso ya mapenzi na bado mmenganganna chumba KIMOJA Nawape tu hints penzi ukiona limeisha badilisha style ya kitanda kama mLIKUWA mnalala kwa urefu nendeni mkalale kwa upana Ikiwezekana lalen opp side mpaka kieleweki Aka mzungu WA NNE Usiforcee...
  6. Pdidy

    Penzi likiisha badilisheni kitanda mashuka ikiwezekana nenda HATA Nje ya nchi Katoe stress

    Wassalahm allheikhum Wote kwa wnaoendelea na mateso ya mapenzi na bado mmenganganna chumba KIMOJA Nawape tu hints penzi ukiona limeisha badilisha style ya kitanda kama mLIKUWA mnalala kwa urefu nendeni mkalale kwa upana Ikiwezekana lalen opp side mpaka kieleweki Aka mzungu WA NNE Usiforcee...
  7. Braza Kede

    Hilo penzi lenu na huyo baby wako mmefikia hatua gani hadi sasa?

    eti wakuu? Hilo penzi lenu na huyo baby wako mmefikia hatua gani hadi sasa? Je mnajiona mkitoboa miezi 6 au tuwaache kwanza?
  8. Poor Brain

    Nimezama kwenye penzi la single mother ila naogopa

    Wakuu salama salama.. Wakuu mpaka sasa nimekua naogopa mno maana nimejikuta natumia mda mwingi kuwaza kuhusu hili penzi la single mom mmoja hapa mtaa wa kati. Huyu binti ukimuona uwezi amini kama ni single mather wakuu kuna watu wana miili ya kitoto. Nachoogopa ni kuwa mara nyingi anaongelea...
  9. kibangubangu

    Simulizi: Penzi Kitunguu

    SEHEMU YA 1 Danieli aliingia bila hodi,nyumbani kwa mpenzi wake alichokiona mbele ya macho yake aliamua kuyafumba, huku mwanaume aliyembele yake akiokota nguo zake kwa haraka zilizotapakaa sakafuni ili kujifunika. Kabla hajafumbua macho,alisikia sauti ya mwanaume huyo aliyeonekana kumfahamu...
  10. T

    Penzi la mwana wa boss

    1. Nipomaliza la saba, litorokea mjini, Mguuni nina raba, na kibegi mgongoni, Nauli ninayo haba, nimeweka mfukoni, Penzi la mwana wa bosi, menitia matatani. 2. Gari zuri tukapanda, kuelekea mjini, Shauku ilinipanda, kuondoka kijijini, Nauli nikailinda, nisiibiwe mjini, Penzi la mwana wa bosi...
  11. E

    Penzi kitovu cha Uzembe , poleni wanayanga

    Penzi limeshusha kiwango cha Azizi ki Penzi limemuondosha Gamondi Penzi kitovu cha uzembe
  12. B

    Kupeana penzi wakati wa mvua kunaongeza kinga ya mwili

    Haijalishi ni muda gani Ila Unapokuwa free na mpenzi/mwandani wako asikae kinyonge wakati wa baridi mtie mguu wa mtoto mpe mkwasa🤣wa mashavu ya chini. Faida za tendo wakati wa mvua 1.kuimarisha upendo baina ya wenza 2.kuondoa stress za Kazi na biashara 3.njia ya kutatua Ugomvi 4.inachochea...
  13. B

    Hivi ndivo mpenzi/mke wako huombwa penzi ukiwa mbali nae

    Competition ni kubwa sana mda mwingine ni kujifanya huyaoni msikague sana simu mtakufa na presha na misongo ya mawazo
  14. Mshana Jr

    Ngoswe: Penzi kitovu cha uzembe..

    Je hii ilikuwa Tamthilia, hekaya ama uhalisia? Je inaweza kuwa vyote vitatu? Mazingira yalikuwa kijijini.. Na Ngoswe alienda huko kama afisa wa serikali kuhesabu wanakijiji kwenye zoezi la Idadi ya watu maarufu kama sensa, miaka hiyo ya sabini na ushee... Ngoswe akazama penzini na mmojawapo wa...
  15. M

    Hivi Mwanamke hawezi kabisa kutoa penzi kwa ampendae bila kutaka kugharamiwa?

    Ni mara kadhaa utasikia wanawake wakisema Mwanamke gharama. Hata awe ana Mtu wake anayempinda na yeye ana uwezo lazima atake kugharamiwa au kupewa matumizi. Wengine hushawishi hata kulipiwa ada za shule au Chuo. Kinashangaza ni kuwa hata agharamiwe kiasi gani wengi si waaminifu, huanza kutafuta...
  16. Pang Fung Mi

    Penzi la Mwanamke wa Kimakonde ni habari ya Dunia tumejifungia week na hatuboi yaani kazi kazi.

    Ebana wanawake wa Kimakonde ni habari ya Dunia, Niko nae ndani yapata wiki sasa yaani ni kazi kazi, nimesahau shida zangu zote. Yukoje? Ni maji ya kunde, kitunguu cha malolo wazaganza na chuchu Dodo , urefu 170sentimita Kuna makabila ni tunu ya Taifa la Tanzania kwenye anga ya mapenzi, mimi...
  17. A

    Penzi la Anko

    PENZI LA ANKO-1 "We Doreen," mama aliniita kwa sauti ya ukali. Sikutegemea kumkuta yuko macho muda huo japokuwa alikuwa chumbani kwake. Ilikuwa saa nne usiku. Kwa kawaida mama ikishafika saa mbili usiku, siku nyingi yupo kitandani anaota ndoto anazozijua mwenyewe. "Abee mama," niliitika...
  18. The622

    Fuata sana kanuni hii ili uweze kulinda penzi lako

    Habari Wakuu, Kila mmoja anatafuta nini afanye kudumu kwenye penzi haijalishi ni ndoa au mahusiano ya kawaida. Ukweli ambao inawezekana hatuujui ni kuwa ,HAKUNA kanuni maalum ya kulinda penzi lako ila tu ile ambayo utajipangia mwenyewe. Asikudanganye mtu anavoishi na mkewe au mumewe eti nawe...
  19. Money Penny

    Penzi lake taaaamu Penzi yum yum

    Ivi ushawahi kukutana na penzi traaaaamu, traaaaaamu mpaka unashindwa kulielezea Taaaamu unaishia kusema yum yum kama chocolate yum yum Kama asali yum yum Au kwako bado mpo season 10 ya magomvi, vikoba, marejesho na hali ngumu ya uchumi?
  20. fakhbros

    Ushuhuda wa mapenzi makaburini

    Wazazi wangu walikuwa wameoana kwa miaka 55. Asubuhi moja, mama yangu alikuwa akishuka chini ili kuandaa kifungua kinywa cha baba, alipatwa na mshtuko wa moyo na akaanguka. Baba yangu alijitahidi kadiri alivyoweza ili kumnusuru alimburuta hadi alipo lifikia gari lao dogo na kumpakia ndani...
Back
Top Bottom