penzi

Sumu la Penzi is a Kenyan Swahili, melodrama that premiered in 2013 in Africa Magic Swahili. It has Serah Ndanu, Joyce Maina, Naomi Ng'ang'a and Judith Nyambura as the female leads.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Ex wangu 1 tu kati ya wanne walioolewa tulioachana bila ugomvi ndie mwenye msimamo, wengine penzi linaweza kuamshwa muda wowote

    nina ma ex wanne ambao tuliachana vizuri bila ugomvi kwa sababu za masomo, kazi na majukumu mengine, katika hawa ni mmoja tu ambae kashikilia msimamo wake sijaona akiwa na shauku ya kupasha kiporo, wengine watatu tunaweza tusichat hata miezi lakini muda tukionana ama tukichat ni kama season 2...
  2. Mapandeson

    Kuna ulazima mpenzi wa sasa ajue mahusiano yaliyopita?

    Je kuna ulazima mpenzi wako wa sasa hajue mahusiano yako yaliyopita??
  3. Mwamuzi wa Tanzania

    Mkikutana na mpenzi wako mkafanya ngono bila kupeana chochote na wote mkatoka mmefurahi hilo ni penzi, kama mmoja akikasirika hapo hamna penzi

    KAHABA ni mtu ambaye anafanya ukahaba. UKAHABA ni kitendo cha mtu kufanya ngono ili apate malipo. Wapenzi watapendana tu bila sababu yoyote , wapenzi watapeana pesa na vitu vingine. Wapenzi hawapo kama kiatu na rami, maana kiatu mara zote ndio kinaliwa. Wapenzi watakutana mahali popote, wakiamua...
  4. Money Penny

    Penzi la Mu-baba wangu ni moutooooor

    Nipo na Mubaba wangu Mubaba kweli kweli Tuko simba day hapa nimesalimu amri, kwa machine ya jana amenifunga goli kizembe sana nikamwambia sawa Mubaba wangu, kesho unanislimisha simba ila me yanga dam dam Nasemaje Nasemaje Mubaba buana, ako na penzi lake classic siwezi elezea, Ana uchokozi...
  5. Paul dybala

    Ushauri: Anakataa kunipa penzi licha ya kuwa tunaishi pamoja, tutafika kweli?

    Wakuu, Naumia sana, nateseka sana nimepambana vya kutosha kutongoza hadi nimemshawishi mwenzangu tuishi pamoja lakini tatizo hanipi ushirikiano kwenye kunipa tunda. Yaani wakuu hakuna kitu inauma kama umelala na manzi halafu unauhakika ana pichu tu ila kipengele ni kumgusa tu shughuli yake...
  6. Kaka yake shetani

    AFYA: Kwa nini nchi zenye ulaji mzuri wa vyakula sio wapenzi wa nyanya?

    Ukienda china, japan, korea, nigeria, ghana na nchi ambazo mtakuwa mashaidi swala la matumizi ya nyanya sio kapumbele sana kama huku kwetu. Pili wenzetu ni watumiaji wa pilipili ambazo hapa Tanzania unakuta kwenye masoko adimu sana. Tatu ni wapenzi wa viungo ukilinganisha na Tanzania yani...
  7. Mycojkhan

    Unapoingia kwenye mahusiano, hakikisha unajua jinsi ya kutoka endapo penzi litafikia tamati

    Mahusiano yalinitesa sanaa Nikawa wakulialia Nikashindwa ku move on kutokana nilikuwa kipofu sikuona Mlango wa kutokea Nililuzi concentration baazi ya Mipango yangu na Mambo yangu kiujumla. Hakikisha unatake care Roho yako, nafsi pamojah na mwili wako Jitahidi kujilinda Hivyo jlivyo wewe ni...
  8. Nyanda Banka

    WANAUME TUJIFUNZE KWA SAMUEL ETOOUkifanikiwa usitafute penzi jipya mkumbuke uliyeanza nae

    Pichani ni Samuel Eto'o akiwa na mkewe unaambiwa kabla Eto'o hajawa star mke wake alikua dada wa salun huko Ufaransa na alikua akimpa pesa ya kujikimu mpenzi wake Eto'o wakati Eto'o akienda kwenye majaribio ya mpira kwenye vilabu mbalimbali vya soka Eto'o anasema baada ya kupata timu na kuanza...
  9. covid 19

    Penzi letu na mpenzi limevuja tena ndio bye bye limeishaa! Almost 4 years ila sio riziki isee!

    Jamani ndo hivyo limeshavuja tena nimebaki napuliza majivu maana moto siuoni.. ndio ameshatoboa mtungi majii yananimwagikia tu pwaaa!pwaa! Zile sifa zote alizoniambia kwamba kama mimi hajawahi kumuona ila nashangaa hakuniambia alivyokutana nae! Dah....!
  10. Dr Restart

    View Once: Yarudisha penzi la mchawi

    🤣
  11. Issuna

    Nimedondokea Penzi na Mdada "Tom-Boy"

    Picha linaanza dem mzuriiiiii shyombe shyombee pisi ya kwenda. Mkiongea mkimya mtaratbu nikaona isiwe shida nijiweke. Kweli akanielewa Fresh tumeanza safari yetu. Onbed hana time she is like gogo wajua eeh hana muda huo sema Volume yake si haba ina stimulate veins. Maisha kawaida hana...
  12. Equation x

    Ushauri: Anataka kuniharibia penzi langu jipya, nifanyeje?

    Jana usiku katika kusherehekea mambo ya muungano, ikabidi nitoke na bebi wangu tukaenda kiwanja kimoja; tukawa tunapiga maji yetu machungu kama kawaida yetu. Kutokana na mazingira kuwa na 'vibe' wengi walikuwa wakiingia na kutoka, kwa bahati mbaya kuna mdada mmoja nilikuwa nimemzoea kipindi cha...
  13. Money Penny

    Penzi la sugar daddy linamtesa, afanyaje?

    Mamdogo Penny Money Penny enhe! Mwana: niko na sugar daddy ila kama kijana daddy money penny: kwanini? mwana: penzi lake lanitesa sana, mwanaume anaenda kwa siku mara 3 money penny: ana umri gan Mwana: na miaka 83 Money Penny: mkewe? Mwana:alishakufa Money penny: sasa shida ni mkewe au round...
  14. Jaji Mfawidhi

    Binti atoa penzi siku 3 bila ridhaa yake, na kesi kashindwa

    Binti (Miaka 19) yupo kwa Basi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji. Binti anamuomba Simu Jamaa aliyekaa pembeni yake aitwaye MAPINDUZI NGALLA, lakini anapiga Simu Shangazi hapatikani...
  15. Tamu3

    Penzi la mwana wa Bosi

    PENZI LA MWANA WA BOSI 1 Nipomaliza la saba, litorokea mjini, Mguuni nina raba, na kibegi mgongoni, Nauli ninayo haba, nimeweka mfukoni, Penzi la mwana wa bosi, menitia matatani. 2 Gari zuri tukapanda, kuelekea mjini, Shauku ilinipanda, kuondoka kijijini, Nauli nikailinda, nisiibiwe mjini...
  16. Tamu3

    Penzi la mwana wa bosi

    PENZI LA MWANA WA BOSI (sehemu ya kwanza) 1 Nipomaliza la saba, litorokea mjini, Mguuni nina raba, na kibegi mgongoni, Nauli ninayo haba, nimeweka mfukoni, Penzi la mwana wa bosi, menitia matatani. 2 Gari zuri tukapanda, kuelekea mjini, Shauku ilinipanda, kuondoka kijijini, Nauli...
  17. Tamu3

    Penzi letu la zamani

    Penzi letu la zamani, lilikuwa ni la dhati, Tulikutana mtoni, kuipanga mikakati, Halikuwa la kihuni, lisilo la kisaliti, Penzi letu la zamani, lilikuwa ni la dhati. Tulikutana porini, tunapookota kuni, Ugumu tulipateni, mpenzi kuweka ndani, Mahari ng'ombe sitini, mwari wamtoleeni, Penzi letu la...
  18. S

    Kwenye fumanizi, pambana/ pigana na mwenza wako. Achana na aliyezawadiwa penzi

    Ni uzwazwa kupambana/kupigana na aliyezawadiwa penzi wakati wa fumanizi. Kwasabb mumeo/mkeo kafanya maamuzi mwenyewe pasipo kushurutishwa na huku akijua ana mke/mume. Mkeo au mumeo hajabakwa, sasa inakuwaje unaacha kumpiga yeye unampiga mtu aliyekusaidia kumstarehesha?
  19. KING MIDAS

    Penzi la Mzee Ngowi na mkewe ni funzo kubwa kwetu

    Mzee Ngowi na Bi Sikitu ni wapenzi walio pendana toka shuleni wakiwa watoto, mpaka wakaoana. Baada ya kustaafu waliamua kurudi kuishi eneo waliloushi zamani walipokuwa wadogo, na kusoma. Siku moja walikuwa wanasherehekea miaka 40 ya ndoa yao. Hivyo waliamua kutembelea shule yao waliposomea...
  20. G

    Uliwahi kutana na mpenzi wako ambae mlipotezana bila mawasiliano huku penzi likiwa moto? Mliendelea mlipoishia?

    Inatokea kuna umepata mwenzako penzi ni moto ila ghafla mkapotezana bila mawasiliano hata kwa miaka kumi Ghafla mnakutana upya hasa ukiwa kwenye ndoa ama mwenzako akiwa kwenye ndoa Je uliwahi kutana na aina hii kitu ?
Back
Top Bottom