penzi

Sumu la Penzi is a Kenyan Swahili, melodrama that premiered in 2013 in Africa Magic Swahili. It has Serah Ndanu, Joyce Maina, Naomi Ng'ang'a and Judith Nyambura as the female leads.

View More On Wikipedia.org
  1. Kiokotee

    Penzi lako limefikia wapi mpaka Sasa!!

    1.Utosini hadi Unyayoni. 2.Kichwani hadi kabla ya Matiti. 3. Matiti hadi Chini ya Kiuno. 4.Chini ya kiuno hadi Unyayoni. Mwenye picha Anisaidie mi sio mchoraji. Mi kwakweli Jamani nisiwe muongo hapo ndio kwanza no.2.
  2. sky soldier

    Sitakuja kusahau nilivyozama kwenye penzi zito na binti tuliyejuana kupitia JamiiForums mwaka 2013

    Haya ni maboresho ya uzi niliowahi kuuandika ila niliuandika nikiwa sijatulia na maneno mengi nilikosea kutype, uzi huu nimesahisha maneno na niomeongezea vya ziada. Mkasa huu nawaletea ulitokea kipindi cha mwaka 2013 nikiwa nasoma chuo cha uhasibu Arusha (IAA – Institute of accountancy...
  3. Baba jayaron

    Binti mwenye penzi la siri nzito

    Wasalaam; Katika harakati zangu na changamoto za mambo ya ndoa si nikalengeshwa bwana si unamuona binti flani hana MTU mcheshi, mwenye adabu, anapendwa na kila mtu na wa mama wengi wangetamani watoto ama ndugu zao wa kiume wamuoe. Nilipozitazama zile sifa nikajiridhisha ni za kweli. Kidume...
  4. MILL8

    Penzi lililodumu muda mchache zaidi

    Habari zenu wana, Siku kadhaa zimepita nilikua matembez maeneo ya bububu Zanzibar, nikakutana na binti mmoja nikaomba namba akanipa. Bas mida ya jioni nikamcheki akasema nimpigie baadae kwan bado anakaz...
  5. Mto wa mbu

    Umeshawahi kurudiana na ex wako na penzi likanoga kama zamani?

    Hope mko poa, Naomba kuuliza swali dogo, hivi ushawahi kurudiana na ex wako, halafu penzi likanoga Kama zamani. Two years ago, nilkuwa kwenye penzi zito Sana na mdada mmoja, yaani nilimpenda nae akanipenda kweli, basi tulikula maisha kwa furaha ya hali ya juu. Baada ya muda tuliachana, japo...
  6. Bata batani

    Ushauri: Nimegundua penzi la mpenzi wangu kwangu limeshakufa

    Tofauti alivyokuwa mwanzo na sasa kiukweli kuna dalili nimegundua mahaba na penzi nililokuwa nakipata toka kwa mpenzi wangu limeshakufa yaani kuna dalili zinaonesha hapa tiyali nimechokwa lile vibe la treatiwa kama mpenzi limeshakufa yamebaki tuu mazoea tuu. Kuna time naamua kulianzisha lile...
  7. kacnia

    First love...

    Ni hisia ya pekee sana pale unapo tambua kuwa umependa kwa mara ya kwanza, wengine hupenda ukubwani na wengine katika kipindi cha makuzi yao hasa wanapo balehe. Niwapongeze wote mlio fanikisha kuwapata wapenzi wenu wa kwanza kabisa mlio wapenda, kwa upande wangu mimi haya ndio yaliyonikuta kwa...
  8. Alejandroz

    Je ulishawahi kwenda na mwanamke gest au geto alafu akakataa kukupa penzi

    Je, ulishawahi kwenda na mwanamke gest au geto na kulipa gharama zote ikiwemo chumba, chakula, nauli n.k alafu akakataa kukupa penzi kama mlivyokubaliana? Ulichukua hatua gani au utachukua hatua gani ukikutana na hali hii?
  9. Zero IQ

    Unaombaje penzi kwa Mke/Mwenza wako

    Kwa wale tunaoishi na wenza wetu, unaombaje penzi kwa mke/Mwenza wako usiku au muda wowote ukihitaji? Mi kwangu Simple tu tukiwa kitandani, tumekumbatia au kulala nikimpiga piga paja ile kishkaji pa pa basi anajua jamaa ndio nahitaji mzigo. Anageuka, romance michezo kadhaa then dushe ndani...
  10. mgt software

    Kwanini wanaume wanapenda watenda vituko kama MamaJ, na Ambarut unakuta waomba penzi kama 40 hivi

    Wana jf Wanawake wapenda vituko aubwanaofanya vituko vya kushtua ndio wanawaniwa sana na wanaume. Sasa unakuta aliyefanya na Fanta au milinda anatafutwa sana mbali na kufanya ufilauni usiovumilika. Kuna siku nilienda kumwona live MamaJ, uwezi amini mgahawa wake unajaa watu, alafu wanaomba namba...
  11. Gily Gru

    Inauma Sana

    Habari wana JF Unakuta umepiga usafi heavy gheto, umepika misosi ya kibabe, umejaza vitu kwenye jokofu, umetandika shuka jipya, umevaa boksa ya maangamizi, umepiga pasi nguo kwa dobi, umelipia king’amuzi full package, umenyoa vuziii umepiga kipara,.....................hivi vitu gani vingine huwa...
  12. mama D

    Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika

    Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika Joyce anaonekana mwanamke anayejali sana pale anapopenda, ila huwa kile kinachotokea baadae huwa nje uwezo wake. Sababu ya uwazi wake Mahusiano yanapoanza kuyumba huwa hakuna siri. Na sio kwamba...
  13. Frumence M Kyauke

    Rick Ross atoka kimapenzi na mrembo mwingine ajulikanaye kama Pretty Vee

    Mtandao wa MTO News umeripoti kuwa Rapper Rick Ross yupo kwenye mahusiano mapya ya kimapenzi na msanii wake ambae pia ni rapper Pretty Vee. Mapema mwaka huu, Rozay alimsaini Pretty Vee katika record label yake ya Maybach Music na vyanzo vya habari vya MTO vinasema kuwa Pretty Vee amekuwa...
  14. Ben Zen Tarot

    Ukiona dalili hizi jua mahusiano yako yashakufa yanasubiri kuzikwa tuu

    Penzi ni makubaliano baina ya watu wawili walioamua kuacha kila kitu na kuwekana moyoni lakini sio mara zote unayempenda na wewe akupende swali linabaki utajuaje kama uliyenaye anakupenda, leo tupate nafasi ya kuangalia mambo matano(5) ambayo ukiyaona ujue wazi kuwa penzi lenu lipo rehani 1...
  15. Light saber

    Penzi la udanganyifu

    PENZI LA UDANGANYIFU. Ilinyesha kama haijawahi kunyesha hapo awali, siku ile ilikuwa ni ya kipekee. Nilionekana nadhifu na mtanashati ndani ya suti yangu nyeusi, na nilinukia kama mfalme. Sikutaka chochote zaidi ya kutegemea mazuri kutwa nzima. "Siyo mimi ni wewe" Nilipokea ujumbe kwenye simu...
  16. tamuuuuu

    UDOM: Wanafunzi wamkamata mkufunzi anayewapa 'Sup' ili afanye nao ngono

    Wanafunzi wa UDOM wamemkamata mkufunzi anayewapa supplementary ili apate kigezo cha kuwatafuna. Ushahidi wa kila kitu hadharani. Si UDOM tu hata vyuo vingine ipo hivyo. Hata mimi nimempoteza mchumba wangu anayesoma DUCE mwaka huu ktk mazingira haya. Sijajua alipigwa sup ama alikubaliana naye...
  17. OKW BOBAN SUNZU

    Wadada kuweni na kiasi mnapotutoza "Tozo ya Penzi"

    Weekend moja nikamtoa out Mwanne. Kule akala bata sana mithili mtu anayenikomoa. Usiku huo nikampiga mistari tuondoke wote atarudi kwake asubuhi. Akanicheka san. Pamoja na kula vitu vyangu pale batani bado akaniuliza nina bei gani! Nikamuuliza unaniuzia? Akaniambia hakuna cha bure siku hizi...
  18. S

    Penzi linanisumbua akili yangu

    Wandugu kama kawaida si rahisi kuishi bila kuwa katika mapenzi, nimekuwa katika mikiki ya mapenzi kwa muda sasa. Story iko hivi nilikuwa na urafiki wa kawaida na dada mmoja hapa ofisini, uhusiano ambao sikutegemea kama ipo siku utabadilika kuwa penzi. Katika kuishi na huyu dada nikajikuta...
  19. H

    Simulizi: Penzi la Bodaboda

    WASAP: 0754021538 Kama maziwa yanaondoa sumu na wakati huo mke ana ana maziwa je mwisho wake nini kilitokea? Twende nami mwanzo mpaka mwisho wa simulizi hii kuweza kupata simulizi hii ya aina yake. TUANZE NAYO: Dunia imejaa maajabu yeshe kushangaza na wakati mwingune kuchekesha, kuhuzunisha...
  20. KENZY

    Kaniroga kwa kutumia penzi lake

    Sio kwa kutumia mizimu, bali kaniroga kwa utamu utamuni. Sauti yake tamu hulindima mithiri ya bubujiko la chozi lenye kuleta furaha!. Jina lake zuri nimeliandika katika kikiminika cha damu yangu! ngozi yake haina ajenda ya ulaghai bali hunigusa na kunikaribisha kwa kuniambia "karibu mume wangu...
Back
Top Bottom