Jaman mimi ni mwanaume niko na kamchumba kangu tulikuwa tunaongea na simu mpaka saa nane za usiku[emoji23][emoji23], ila gafla baada ya kuamua kuoana naanza kuona ninapunguza upendo kwake tena bila hata sababu ya msingi masikini ya Mungu.
Ila najikuta namtafutia visababu yaani vikasoro kasoro...