peramiho

The Roman Catholic Archdiocese of Songea (Latin: Archidioecesis Songeana) is the Metropolitan See for the ecclesiastical province of Songea in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Peramiho aliyechukua nafasi ya Jenista Mhagama asema hali ya Barabara jimboni hairidhishi

    Mbunge wa Jimbo la Peramiho kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Lazaro Kilian Komba akichangia hoja bungeni kuhusu hali ya Barabara jimboni hapo kutokuwa nzuri kwa muda mrefu, ameyasema hayo Aprili 15, 2026. Ikumbuke Mbunge huyo aliingia Bungeni baada ya kushinda katika uchaguzi uliofanyika...
  2. JamiiForums Tanzania Ruvuma: CCM’s Lazaro Komba wins Peramiho parliamentary by election. Opposition parties congratulate INEC for "intergrity"

    The Returning Officer for the Peramiho parliamentary by election, Exavery Luyagaza, has declared Dr Lazaro Kiliani Komba of Chama Cha Mapinduzi CCM the winner after securing 69,002 votes, equivalent to 87 percent of all valid votes cast. The by election was held following the death of Jenister...
  3. JamiiForums Tanzania Wagombea wa Ubunge kutoka kwenye vile vyama 14 "waipongeza" Tume ya Uchaguzi kwa kuendesha vyema Uchaguzi mdogo jimbo la Peramiho

    Wagombea Ubunge wa Jimbo la Peramiho kutoka Vyama Vya Siasa 14 NLD, AAFP, MAKINI, UMD, UPDP, DP, CCK, TLP, UDP, SAU, NCCR MAGEUZI, ADA TADEA na ADC vilivyosajiliwa kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa sura ya 258, kwa umoja wao wameamua kuja na tamko la pamoja kuhusiana na mwenendo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…