Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Mbunge wa Jimbo la Peramiho kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Lazaro Kilian Komba akichangia hoja bungeni kuhusu hali ya Barabara jimboni hapo kutokuwa nzuri kwa muda mrefu, ameyasema hayo Aprili 15, 2026.
Ikumbuke Mbunge huyo aliingia Bungeni baada ya kushinda katika uchaguzi uliofanyika tarehe 26 Februari 2026 baada ya kifo cha aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo na Waziri katika nafasi mbalimbali, Jenista Mhagama ambaye alikuwa Mbunge wa Jimbo hilo tangu mwaka 2005.
Pia sema ~ Lazaro Komba wa CCM ashinda Ubunge jimbo la Peramiho