perfume

Perfume (UK: , US: ; French: parfum) is a mixture of fragrant essential oils or aroma compounds, fixatives and solvents, used to give the human body, animals, food, objects, and living-spaces an agreeable scent.
It is usually in liquid form and used to give a pleasant scent to a person's body.
Ancient texts and archaeological excavations show the use of perfumes in some of the earliest human civilizations. Modern perfumery began in the late 19th century with the commercial synthesis of aroma compounds such as vanillin or coumarin, which allowed for the composition of perfumes with smells previously unattainable solely from natural aromatics alone.

View More On Wikipedia.org
  1. Rorscharch

    Kuna umuhimu body spray na perfume zisambazwe bure kama kondomu maana kwenye madaladala humu tutakufa

    Saa 12 asubuhi, mtu kashuka kitandani, hajafikiria maji wala sabuni, lakini tayari yuko kwenye daladala. Jamani, unajua ananuka kama amegaragara na mwanamke halafu akaamua kwenda moja kwa moja kazini? Hakuna hata sekunde ya kufikiria kuwa wenzako pia wanapumua? Najua wanaume hatupaswi...
  2. sonofobia

    Natafuta perfume konki budget 50K

    Wale watu wa perfume uwa tuna code zetu tunapasiana. Mimi nimekwama kidogo so natafuta perfect ya isizidi 50K ya kiume inayonukia kishefa. Ukinitajia jina na location ya kuipata nitafurahi. Isiwe ya kupima wala rasasi au smart collection. Karibuni
  3. sonofobia

    Wapenzi wa perfume za Tom Ford. Ipi ni the best kati ya hizi?

    1. Black orchid 2. Ombre leather 3. Oud wood Leta opinions, Ipi ni the best kwa experience yako.
  4. monotheist

    Hivi kuna perfume ya kiume yenye kunukia vizuri kuliko hii?

    Baada ya kuangaika kutafuta perfume bora ya kiume kwangu hii ndo bora kuliko mzigo unaitwa SAUVAGE ELIXIR tena upate original huu mzigo ni balaa achana na zile za kkoo huwa nikienda mishemishe nikikutana na watoto wa kishua hawaachi kuniuliza unyunyu unaitwaje Juzi nimepanda zangu mwendokasi...
  5. Gol D Roger

    Ushauri kuhusu perfume(Ematscents)

    Nataka nichukue hizi mbili, Dapper Man na Royalty Kama ushawahi kutumia hizi perfume za Ematscents nipe madini....
  6. BUSH BIN LADEN

    We Dada Perfume Yako Nzuri Sana

    Nimemwambia hivo dada mmoja jirani yangu nashangaa ananijibu eti "eeh kujenga nishindwe hadi kupendeza nishindwe" huku anajichekelea mwenyewe kwa furaha. Nimeshindwa kuelewa perfume inamfanya vp mtu kupendeza?
  7. monotheist

    Perfume zenye harufu nzuri kwa maoni yangu

    Mimi nina allergy na perfume nikitumia huwa napata mafua makali na kichwa kinauma baada ya kupata kazi karibu na duka la perfume nikawa nafanya utafiti perfume zipi ambazo zitanifaa Hizi ni miongoni mwa perfume ambazo harufu yake imepoa sana na zinanukia vizuri si kali na nikizitumia huwa...
  8. monotheist

    Hizi ndo perfume original ukiachana na zile za Kariakoo

    Nilishangaa sana baada ya kukutana na hizi bei tena wanakuwekea na taster hizo nilizozishika ruksa kujipulizia zina harufu poa sana Dah wenye pesa wanafaidi vilivyo vizuri
  9. monotheist

    Perfume gani isiyo na harufu kali inafaa kwa mwanaume

    Mimi ni mwanaume nina allergy na vitu vyenye harufu kali, mimoshi ya sigara na vumbi napenda sana kujipulizia perfume lakini zinanishinda naishia kupata mafua makali Je, perfume ipi ambayo imepoa itafaa kwa matumizi yangu bila kuniletea shida ya mafua makali bajeti yangu isizidi 30,000
  10. R

    Haya ni manukato/perfume gani?

    Habari wakuu Siku chache zilizopita nilitembelewa na mgeni nyumbani. Alikuwa amejipulizia manukato/perfume ambayo harufu yake imebaki kwa wiki nzima sasa kwenye sofa aliyokuwa amekaa. Kwa wajuzi wa manukato naomba kujua ni brand gani za perfume zinaweza kudumu muda mrefu kiasi hiki. Mimi ni...
  11. alpha walk

    INAUZWA Nauza perfume

    Habari wanajukwaa nauza perfume za kike na za kiume kwa bei ya 40,000 tu na ni brand ya kizawa kabisa Inakaa muda mrefu na inaweza kusikika harufu yake kwa umbali mrefu,napatikana Dar es Salaam unaweza kunichek kwa namba 0674376787 nikakuletea sample.
  12. music mimi

    Natafuta perfume OG ya kike. Bajeti 50k

    Natafuta perfume original ya kike. Sitaki hizi feki au copy zilizozagaa. Bajeti yangu ni elfu 50 naweza pata perfume gani na duka lipi? Wauza perfume nyuzi zenu nishazipitia.
  13. FUTURE HUNTER

    Ushauri: Naomba mapendekezo ya mafuta mazuri yasiyoleta chunusi na marashi mazuri kwa ajili ya mke wangu

    Mmeamkaje wana jukwaa? Moja kwa moja kwenye mjadala wetu hapo. Nataka mnunulia baby mama mafuta mazuri sambamba na unyunyu kama zawadi. Naombeni ushauri wa aina nzuri ya package upande huo. Natanguliza shukrani.
  14. GokuOne

    Jinsi ya kupaka marashi (perfume): Siri 8 za kufanya harufu ya marashi idumu kwa muda mrefu

    Moja kwa mbili kwenye mada: 1. USIPULIZE KWENYE NGOZI NA KUISUGUA: Kwa nini? *Kwa kusugua kwenye ngozi baada ya kupaka kutayafanya marashi yako yapotee (evaporate) kwa haraka zaidi kabla hayajatulia kwenye ngozi na kujichanganya na mafuta asilia ya ngozi (skin oils). *Kuyatawanya kwa...
  15. Chakorii

    Harufu ya perfume yake haitoki puani mwangu

    Habari za jumapili watu wangu nguvu..natumaini mlioenda nyumba za Ibada leo mmetuombea🙏 Jamani sijui ni hii pua yangu inafanya makusudi kuhifadhi hii harufu. ..🤔🤔 Mpenzi msomaji siku kadhaa zilizopita nilikuwa kwenye party fulani hivi ya watu tunaofahamiana nao😊mida ya kuondoka bhana mkaka...
  16. Jamiru

    Maduka ya wauza perfume weng n ya wapogaji

    Katika pitapita zangu nikakutana na duka moja la perfume na vipodozi , nikaingia kwaajil ya kuchukua mahitaji yang , sasa kuangaza nikaona perfume ya Hugo boss na bleu de chanel nikaomba anitolee kwaajil ya kuzikagua maaana mzigo wa Hugo boss nasikia ni bei mbaya sasa nikangalia unanukia poa lkn...
  17. Mlolongo

    Mwanamke akikupenda raha, pamoja na kumcheat kaninunulia perfume ya 170,000/=

    Alikuta picha kwenye Facebook messenger yangu. Picha yenyewe ni dogo mmoja ametoka kuoga, amefumua nywele. Maana nilimwambia ukifumua nataka nizione nywele zilivorefuka. Aliniwakia sana. Tena ilikua usiku tumetoka Sunrise Beach Resort vizuri tu. Tumefika karibu na kwao nataka nimuage ndio...
  18. Jemimah cindy

    INAUZWA Tunauzwa vitu mbalimbali (Pazia, Chuma za Pazia, Net, Kava za Makochi, Mashuka nk)

    Je Umechoka muonekano wa sofa zako na ungependa kuzipa muonekano wa tofauti na wakisasa zaidi? SALE SALE SALE Sofa la mmoja ni 30000 Sofa la wawili ni 44,000 Sofa la watatu ni 54,000 ●Tuma kochi zako WhatsApp 0713691101 upate ushauri na sample za cover zilizopo 1: Hazipauki wala kuchuja...
  19. monotheist

    Anayejua aina nzuri ya perfume

    Yeyote anayejua aina nzuri ya perfune yenye manukato yasiyokera mbele za watu isiwe zaidi ya 15,000 nahitaji kununua hata kama ina ujazo mdogo. Jinsia yangu ni mme Ahsanteni
  20. Mzizi Tanzania

    INAUZWA Ofa ya perfume msimu huu wa Valentine Day kwa Dar

    Jipatie ofa ofa ya perfume msimu huu wa Valentine Day kwa bei nafuu kabisa kwa ajili ya kunogesha siku ya wapendanao ukiwa na perfume bora kabisa! Tunapatikana -Mbezi Beach Dar unaweza kuweka order na kuletewa ulipo utachangia nauli kidogo. Wasiliana nasi kwanjia ya WhatsApp/Call/Text kwa...
Back
Top Bottom