perfume

  1. S

    Perfume lovers: Ni perfume gani nzuri zaidi kati ya hizi?

    Kwa wale wapenda perfume wenzangu naomba mnisaide kati ya hizi perfume ipi ina halufu nzuri zaidi. Blue de Chanel vs Yves Saint Laurent Y Nina mpango wa kununua perfume na nimeona wengi wanaziongelea hizi sijawai zitumia wala kufahamu zinanukiaje.
  2. bway hermit

    Bei ya hii perfume

    Nahitaji kujua bei hii perfume maana inasifika sana na baadhi ya watumiaji. Nawasilisha #fightingTemptation
  3. C.T.U

    Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

    Naomba mnisaidie hapa wapo ambao hupenda mwanaume anukie kiasi kwamba akiwa mbali unaeeza msikia ma akipita lazima ikae kwa muda mrefu ile harufu na wapo wanaoenda mwanaume anukiee kidogo yaani mpaka umkumbatie ndio utajua kuwa anan7kia. Wapo wengine wanaume wapaka body spray hawana nafasi...
Back
Top Bottom