Naomba mnisaidie hapa wapo ambao hupenda mwanaume anukie kiasi kwamba akiwa mbali unaeeza msikia ma akipita lazima ikae kwa muda mrefu ile harufu na wapo wanaoenda mwanaume anukiee kidogo yaani mpaka umkumbatie ndio utajua kuwa anan7kia.
Wapo wengine wanaume wapaka body spray hawana nafasi...