Watu wengi hawalijui hili!
Utashangaa kadiri unapozidi kufuta vitu kwenye simu yako (Picha/ Video? na ukiamini kuwa umefuta permant kwasababu ulifuta hadi kwenye recycle bin ila simu inapungua kidogo space yake ambayo sio sawa na vitu ulivyofuta, sasa vile vitu ulivyofuta havijatoka kwenye simu...