Je wajua simu yako ikiwa na App ya Google Photo, ukifuta picha hadi recycle bin bado zinaendelea kubaki kwenye simu?

Bawabu wa pili

Senior Member
Joined
Nov 14, 2025
Posts
147
Reaction score
433
Watu wengi hawalijui hili!​

Utashangaa kadiri unapozidi kufuta vitu kwenye simu yako (Picha/ Video? na ukiamini kuwa umefuta permant kwasababu ulifuta hadi kwenye recycle bin ila simu inapungua kidogo space yake ambayo sio sawa na vitu ulivyofuta, sasa vile vitu ulivyofuta havijatoka kwenye simu bado na hua vinaendelea kuchukua nafasi kwenye storage ya simu yako

Kwahiyo ikatokea kuna picha au video ulishawahi kuzifuta kwenye simu yako (Adroid/Iphone) ambayo ina App ya google Photo aidha ulifuta kwa bahati mbaya au kwa kukusudia, ukafuta hadi trash/recycle bin na unatamani uzirudishe au uzifute permanent unajua unatakiwa kufanyaje? em ngoja niwape hii tekniki, fuata hatua hapa hini

1. Ingia kwenye browser yako search google photo itakuletea muonekano kama huu kisha bofya palipo andikwa Google Photo
​
1767782845569.png

2. Baada ya kubofya vitakuja vialama vitatu upande wa kushoto na vidoti vitatu mkono wa kulia, utaclick vialama vitatu vilivyoko mkono wa kushoto juu

1767782996979.png

3. Kisha utateremka hadi eneo la "Setting" uta-click hapo

1767783061306.png

4. Ukiingia hapo utashuka hadi kwenye kipengele cha suggestion view kisha utafungua hapo nilipozungushia.

1767783246597.png

5. Baada ya kufungua hapo utakuta vipengele kadhaa, utashuka hadi kipengele cha mwisho kabisa kimeandikwa "unsaved creations" (nimekikata kidogo kwenye hii picha) na hapo utaona picha zako zote, hadi video baada ya kufunguka. So kama ulikuwa una picha za siri na wengine za utupu na ukahisi umezifuta permanent utazikuta zote huko.

1767783304529.png

Ili uzirudishe tena utaenda sehemu ya "save'" kisha zitarudi kwenye simu kama kawaida na ili uzifute permanent utazimark na kuclick hapo kwenye alama ya trash itakuuliza delete permanent baada ya hapo zitaenda kwenye recycle bin ya huku ambayo utaenda tena na kuclear na hapo utakuwa umemaliza mchezo.​
 
Nimeshwahi kukutana na mawandazi kwenye simu ya mtu ninaye muheshimu sana.
Ni baada ya simu yake kujaa lkn kafuta vingi sana lakini kila.akihitaji kuweka kitu inakuambia storage is full.

Ndipo akaniomba msaada. Nikamwambia niachie utakuja kuchukua baada ya muda nione kama naweza aseee hizi simu acheni kabisa.

Nilikuta madudu si ya kusimulia ni mama mtu mzima lakini alikuwa anapiga picha za uchi mme wake akiwa amelala😅😅

Wanaume kazi tunayo hata yeye mwenyewe picha za ovyo anazo lukuki nilishangaa nikafuta zote
 
Watu wengi hawalijui hili!​

Utashangaa kadiri unapozidi kufuta vitu kwenye simu yako (Picha/ Video? na ukiamini kuwa umefuta permant kwasababu ulifuta hadi kwenye recycle bin ila simu inapungua kidogo space yake ambayo sio sawa na vitu ulivyofuta, sasa vile vitu ulivyofuta havijatoka kwenye simu bado na hua vinaendelea kuchukua nafasi kwenye storage ya simu yako

Kwahiyo ikatokea kuna picha au video ulishawahi kuzifuta kwenye simu yako (Adroid/Iphone) ambayo ina App ya google Photo aidha ulifuta kwa bahati mbaya au kwa kukusudia, ukafuta hadi trash/recycle bin na unatamani uzirudishe au uzifute permanent unajua unatakiwa kufanyaje? em ngoja niwape hii tekniki, fuata hatua hapa hini

1. Ingia kwenye browser yako search google photo itakuletea muonekano kama huu kisha bofya palipo andikwa Google Photo
​
View attachment 3526612

2. Baada ya kubofya vitakuja vialama vitatu upande wa kushoto na vidoti vitatu mkono wa kulia, utaclick vialama vitatu vilivyoko mkono wa kushoto juu

View attachment 3526613

3. Kisha utateremka hadi eneo la "Setting" uta-click hapo

View attachment 3526614

4. Ukiingia hapo utashuka hadi kwenye kipengele cha suggestion view kisha utafungua hapo nilipozungushia.

View attachment 3526615

5. Baada ya kufungua hapo utakuta vipengele kadhaa, utashuka hadi kipengele cha mwisho kabisa kimeandikwa "unsaved creations" (nimekikata kidogo kwenye hii picha) na hapo utaona picha zako zote, hadi video baada ya kufunguka. So kama ulikuwa una picha za siri na wengine za utupu na ukahisi umezifuta permanent utazikuta zote huko.

View attachment 3526616

Ili uzirudishe tena utaenda sehemu ya "save'" kisha zitarudi kwenye simu kama kawaida na ili uzifute permanent utazimark na kuclick hapo kwenye alama ya trash itakuuliza delete permanent baada ya hapo zitaenda kwenye recycle bin ya huku ambayo utaenda tena na kuclear na hapo utakuwa umemaliza mchezo.​
vipi kama nilibadili simu nitazipata hizo photos ambazo niliwahi kuzifuta kwenye simu nyingine baada ya kusign in google?!
 
Back
Top Bottom