pesa nyingi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pesa nyingi ninazopata kwenye Freelancing zianaishia kuwalipa vijana wanaonisaidia kufanya kazi. Hii level inaitwa dropservicing

    Pesa nyingi ninazopata kwenye Freelancing zianaishia kuwalipa vijana wanaonisaidia kufanya kazi. Hii level inaitwa dropservicing Nitakuelekeza mambo muhimu ya kuzingatia ili uweze kufanya dropservicing... Pia ukitaka kufanya freelancing zingatia haya Kwanza kabisa lazima uanze kama freelancer...
  2. U

    Kwanini wadada Wanawapiga vibuti Wanaume wafupi na Wanene, Labda wawe na pesa nyingi sana

    Kwakweli kuna msiba mkubwa sana kwa watu wafupi na wale wanene, watu hawa hasa wenye kipato cha kawaida ama kipato kidogo wamekuwa wakipata wakati mgumu sana kupata rafiki wa kike, yaani wanawake wengi wamekuwa wakitongozwa na hata ikitokea nafasi ya kuolewa na watu wafupi ama wanene wengi...
  3. Luhaga Mpina: Waziri wa Fedha amekopa na kutumia Zaidi ya Tsh. Trilioni 7 Bila kuingizwa kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali

    Mambo yanazidi kua ya moto. Watu wanajiuliza jamaa anapata wapi Hela namna hiii za kumwaga pale Klabuni?.
  4. W

    usizoee kutembee na vitu vyenye thamani ndani ya gari, camera imewanasa wezi Arusha wakivunja kioo cha gari na kuiba vilivyomo

  5. 3

    Ipi ni bora katika kujiajiri na kutengeneza pesa nyingi kati ya software developer na Cyber security

    Habari zenu ndugu polen na majukumu mimi niliuw na penda kujua kati ya software developer na Cyber security ipi inaweza kukutengenezea utajiri mkubwa kwa Tanzania hapa
  6. Jinsi ya Kumfanya Mwanaume Akupatie Pesa Zake au Akuhonge Pesa Nyingi

    Jinsi ya Kumfanya Mwanaume Akupatie Pesa Zake au Akuhonge Pesa Nyingi Kabla ya kuingia kwenye somo hili, ni muhimu kufahamu kuwa uhusiano wa kweli unapaswa kujengwa kwenye msingi wa upendo, heshima, na uwazi. Hata hivyo, kwa wasichana walio kwenye mahusiano, kuna njia za kimaadili za kumfanya...
  7. G

    Huu umati anao ukusanya mwamposa ata wakiungana wasanii wa TZ nzima hawawezi, Unabii unalipa !!

  8. Siku hizi mjini wimbi kubwa la watu wenye pesa ni vijana. Tupeni siri mnatoa wapi hizo pesa?

    Mpaka unasoma uzi huu natumaini uko njema kiafya. Siku hizi mjini wimbi kubwa lawatu wenye pesa nivijana. Vijana tupeni siri mnatoa wapi hizo pesa? Sawa unaduka ila mbona umepanga kadeti chache tu alafu nje umepaki BM? Yani unalipa kodi zaidi ya 1Milioni, umeweka mfanyakazi mzigo uliouweka...
  9. G

    Kwa migogoro inayoibuka baada ya vifo vya wenye hela, nadiriki kusema "kuwa na pesa nyingi ni kukaribisha balaa kwa familia"

    Tuliyaona kwa Dr. Mengi. Tukayaona kwa Mrema. Tukayaona kwa bilionea Msuya. Tukayaona kwa Dr. Likwelile. Tumeyasikia kwa Hans Pope. Na sasa yameibuka kwa Dr. Mwele. Ndipo hapa naona hakuna maana ya watu kutafuta pesa kwa ajili ya watoto wao. Usije na wimbo wa kwamba "watu waandike wosia...
  10. W

    Utamshauri nini mdogo wako wa kiume anaetumia pesa nyingi ku spend na madem

    Wewe ni kaka au dada una mdogo wako wa kiume 20’s anafanya kazi na anaishi kwake (amepanga) lakini unaona anatumia pesa nyingi ku spend na madem na starehe mbalimbali, je utamshauri nini au utamuacha
  11. Haji Manara: Nalipwa pesa nyingi, siwezi kuwa Chawa

    “Mimi nalipwa hela nyingi, sasa nawezaje kuwa Chawa Mtu mwenye Ubalozi wa Kampuni zaidi ya 20, nani ananiweza Nchi hii kwa Ubalozi? tena sio kampuni ndogo Mimi sitangazi nyanya ya kopo, mmeshawahi kuona nawaita kutangaza bidhaa ndogo?, Mimi natafuta maisha nahangaika napambana Mtu anaponitukana...
  12. G

    Tafuta pesa familia yako iishi vizuri, Suala la kutafuta pesa nyingi ili kumlinda mke ni ushamba.

    Umemkuta mke wako akiwa na zaidi ya miaka 25, kubali usikubali ninyi wote mna historia na siri zenu nyingi, Ni mawazo ya kishamba sana kuhangaika utafute pesa ili mke wako aishi vizuri ukidhani ni kinga ya yeye asichepuke, Mwanamke ni kiumbe chenye hisia za mapenzi na mapenzi ni fumbo kubwa...
  13. B

    Wanaume tusiwazoeshe pesa nyingi wanawake na watoto pesa nyingi

    Ni ijumaa! Nzuri maridadi kabisa Mungu nasi tena kumekuwa na Kasumba ya kuwapa fedha nyingi wanawake na watoto wetu kimsingi ikiwa tunatumia lile neno "hutaki wateseke kama wewe kwa hussle ulizopitia ni kweli" lakini utakuja kugundua kitu kimoja pesa ni mwanaharamu sana Ukiizoea sana...
  14. B

    P. Diddy hakukosea alipoimba "More money more problem", yaani pesa nyingi huzalisha matatizo mengi

    Asee Wana JF hali gani huko? kazi iendelee na pia people's powers, Tuingie kwenye mada! Unajipambania zako na kuweka malengo Kila siku, Kila mwezi, Aidha miezi, mwaka au miaka kwamba utakua unatunza kiasi kadhaa aidha bank, aidha kwenye lani n. K na unajicommit Ata kujiapiza kabsa sometimes...
  15. Nahitaji mtu mwenye wazo la Kibiashara ambalo litatusaidia kutengeneza pesa nyingi

    Je,unafahamu Tooth Pick Kwa Kiswahili inaitwa "Kimbaka",Kuna muda nawashangaa sana BAKITA na haya Majina Yao! Any way Wakuu nahitaji mtu yeyote mwenye wazo la Kibiashara ambalo liko tofauti na biashara ambazo zimezoeleka hapa Bongo!,Binafsi ninafanya biashara ya nafaka,pia Nina mashamba...
  16. Nina pesa nyingi kuzidi baba zenu

    Nyie masikini Mimi ni mtoto mdogo sana ila pesa zangu ni nyingi kuzidi hata za baba zenu na mtaumia sana na utajiri wangu sababu nyie ni mafukara tafuteni hela sio mnakaakaa kizembe humu Mimi ndio tajiri wenu nyie mafukara mnabidi mnipigie magoti Leo nitarisha masikini kwenye sikukuu ya maulid...
  17. V

    Jinsi mchina alivyopiga pesa nyingi Sana Kwa biashara ya Nyani

    Hapo Zaman za kale kulikuwa na mchina katika kijijin kimoja kilichojulikana Kwa jina la Ngwa' mchina huyo aliamua kuwekeza kwa Kununua nyani mmoja Kwa shilingi 200, alitembelea Maeneo mengi kijijini na Wananchi walimuuzia nyani Kwa shilingi Mia 200, na hadi nyani waliandimika na yeye alivyoona...
  18. Betting, michezo ya kubahatisha ni dhambi hata kama inaingizia nchi pesa nyingi

    Naliomba Bunge tunapofikia kujadili ustawi wa jamii michezo ya kubahatisha toeni sauti Taifa linaangamia, hata kama Mwigulu anaona ni sawa tu kwa kuwa pesa inaingia, faida ya pesa inayopatikana na madhara ya michezo hiyo kwa Taifa ni ni sawa na tone. Mwenyezi Mungu ameharamisha betting kwa...
  19. G

    Tukomae kutoa aibu ya kuwa nchi isiyo na kombe , Yanga na Simba za sasa zinaweza! Ligi ya Mabingwa ni kwa wazito wenye pesa nyingi na connections

    Ni meza yenye vinywaji ghali ukionekana unataka kuitikisa wata deal na wewe, mfano ni Yanga alitaka kudiriki kutikisa meza, chap akashughulikiwa. Mwaka jana Yanga alifika fainali ya shirikisho lakini ikawa ni heshima kubwa sana, Hapa nchini hakuna timu iliyowahi kufikia fainali ya kombe la...
  20. Tukisema Royal Tour Tulipigwa tunamaanisha ukweli

    Kwamba Tanzania Royal Tour ilikuwa ni siasa, Royal Tour ilikuzwa kuliko uhalisia wake. Na pia Royal Tour Documentary haikuwa na maudhui yoyote makubwa yenye ushawishi kwa watalii kuweza kuijua Tanzania pamoja na vivutio vyake. Bali Royal Tour ilitumika na kundi la wajanja ndani na nje ya nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…