Habari JF,
Nimeona niwakumbushe Watanzania wenzangu maana asilimia kubwa tumezoea kushabikia vitu visivyo vya msingi. Triloni 360 ni pesa nyingi sana zinaweza kututoa tulipo kuwa donor country.
Hivyo tusiishie kushare video na kucheka bali ni vizuri tufuatilie kwa umakini tuone muenendo wake...
Wasanii wakubwa tena wakongwe wanalalamika mziki wa bongo fleva haulipi k.v Chidi benz, Veemoney na Dudubaya, Diamond amewezaje kupata hela hadi ya kununua rolls royce na kulipa bodyguards? Diamond anafahamika hadi Nigeria, Na Afrika nzima, hakuna msanii wa kibongo anayefahamika kama Diamond...
Mimi naanza na Andriy Shevchenko kutoka Ac Milan kwenda Chelsea. Ulikuwa usajili wa aina yake lakini Sheva akaishia kufeli zake Chelsea.
Endelea na wewe, unakumbuka usajili upi?
Mara Hamuwezi kumsajili,,Mara Zile Picha ni feki, mara Fyoko Fyoko.
Sasa hivi Mnasema oooh mmemsajili Kwa Pesa nyingi, Kwani Pesa zenu au za Shangazi zenu?
Kinawauma nini hata tukimsajili bure au kwa Mamilioni?
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema amesema;
"Tunapinga kitendo cha Serikali kutumia fedha za umma kukarabati viwanja vya michezo vinavyomilikiwa na CCM, huu ni ubadhirifu wa Fedha za umma."
"CCM kama wemeshindwa kuendesha viwanja ambavyo walivipora kutoka kwenye...
Kujiuzulu kwa Ndugai kumeambatana na hisia tofauti za wananchi. Lipo kundi la wananchi libalooamini kuwa kilichomfanya Samia akasirike, kuwa mbogo na kukunjua makucha dhidi ya Ndugai kinyume cha haiba yake ya upole ambayo wananchi wameizoea ni. kutokana na Ndugai kuonyesha mshangao bungeni wa...
Laiti haya mambo yangekuwaga na uchunguzi wa kina tungegunduaga mambo ya ajabu sana , sasa the talk of the town huko libya ni kwamba Biashara utd ilihongwa pesa nyingi sana ili watafute kisingizio kwa namna yoyote ile wasifike libya na kupoteza mechi.
KUANZIA MECHI YA SIMBA NA YA WALIBYA KUNA...
Utalii wa ndani siyo mpaka kwenda Serengeti au kupanda mlima kilimanjaro. Unaweza kutoka Dar ukaenda Bagamoyo kuangalia majengo, ni utalii. Unaweza enda Pugu hill, ni utalii. Siku hizi watu binafsi wameanza kuwekeza na kuboresha maeneo haya. Hii inatengeneza ajira na halmashauri zinapata pesa...
Fast and Furious 9 'F 9' imetangazwa kuwa filamu iliyoingiza pesa nyingi zaidi kutoka kwenye majumba ya sinema toka kuanza kwa janga la Corona Virus duniani. Mpaka sasa F9 Imetengeneza dola milioni 700, huku dola milioni 200 zikitoka kwa watazamaji nchini China.
Studio za Universal...
Miaka michache nyuma kabla ya ajira kuwa kitendawili (kuwa adimu)kuna kazi hazikupendwa kabisa japo zilikuwa na pesa nzuri sana.
1.MAMA NTILIE/BABA NTILIE.
Kwanza ilionekana kazi wanayofanya watu duni wasiokuwa na elimu. Wasiokuwa na kazi walikuwa tayari kukaa nyumbani kuliko kufanya kazi hii...
Nimeona watu wengi sana wakiogopa kazi ambazo ni risk. Lakini wanashindwa kuelewa kuwa kazi ambazo zina risk kubwa ndio zenye pesa nyingi.
Simaanishi huku Norway kazi ambazo hazina risk hazina pesa, hapana. Kwanza kazi zenye pesa ni zile za wale skilled ambazo kwa mhamiaji huwezi kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.