Maisha yanazidi kua magumu kwa wapangaji kila kukicha.
Kuna kautaratibu naona kanazidi kua ka kawaida kwa wenyenyumba ukienda kupanga kwa mara ya kwanza, wanataka kodi ya mwezi mmoja kama hrla ya taadhali endapo kuna uharibifu utatokea pindi utakapohama, basi iyo hela itacover, na usipotokea...