Wenye nyumba mnataka mtumalize sasa. Hela ya Tahadhari Mwezi Mmoja ndio nini sasai?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Maisha yanazidi kua magumu kwa wapangaji kila kukicha.
Kuna kautaratibu naona kanazidi kua ka kawaida kwa wenyenyumba ukienda kupanga kwa mara ya kwanza, wanataka kodi ya mwezi mmoja kama hrla ya taadhali endapo kuna uharibifu utatokea pindi utakapohama, basi iyo hela itacover, na usipotokea, wanadai watarefund.

Ni kama caution money ya shule ya sekondari na vyuoni. Bora ile inarudishwa ila hii ngumu sana maana lazima nyumba itakua na kasoro tu kwa miezi 6 au mwaka utakaoishi.

Huu ni ujambazi mwingine.

Imagine:
-Kodi miezi 6
-Hela ya dalali mwezi 1
-Tahadhari mwezi 1

Kwahiyo jumla miezi 8!

Hivi ni Taadhali, Tahadhali au Taadhari au Tahadhari? Elimu haina mwisho.
 
Hiyo ni muhimu maana kuna watu wanatabia zakutoboa kuta za nyumba na misumari, ukiwaambia wanunue rangi wapake wanakuwa wakorofi. Kuna mwingine juzi kaaribu bomba la mvua la 150k alafu anachukulia simpo simpo tu. Mimi huwa nachukuwa ya miezi kabisaa na sio mwezi.
 
P
kumbe wee ni baba mjengo, sasa mbona husemi?
Fanya niwe mama mjengo bas jamanii, ila P acha kukamua wapangaji wako.

Unawaonea. Lol 😂😂😂😂😂😂
 
Ni sawa kuwa na fedha ya dharura. Kitu ambacho sio sawa ni kudai kodi ya miezi 6.
Umeshawahi kumiliki nyumba ya kupangisha? Nina mashaka na hilo. Ukiwajua vizuri watanzania wasivyolipa kodi lazima na wewe ungebadilika na kudai kodi ya miezi kadhaa mapema. Labda kama unataka kudaiana madeni na wapangaji walioondoka na madeni tena bila hata kutoa taarifa
 
P
kumbe wee ni baba mjengo, sasa mbona husemi?
Fanya niwe mama mjengo bas jamanii, ila P acha kukamua wapangaji wako.

Unawaonea. Lol 😂😂😂😂😂😂
Kuna wengine wanapikia mkaa nyumba inakuwa giza kweli, wengine tiles anakuta safi ila siku anaondoka zote unakuta zimepasuka na wengine kwenye kulipa kodi mpaka umtafte dalali aliomleta ndio akulipe kwa manung'uniko na laana juu utasema mlijenga wote.
 
Hii niliikuta Ujerumani. Kule unatoa kodi ya miezi mitatu kama tahadhari landlord anakaa nayo, wenyewe wanaita "Kaution". Siku unapoondoka landlord anakagua nyumba then anakurudishia.

Ila uzuri wa kule hakuna mambo ya kulipa kodi ya miezi sita, unalipa kwa mwezi tu.
 
Mkuu huo ni utaratibu kama utaratibu mwingine, usipo kubaliana nao then uko free kwenda pengine.

wengine sio wastaarabu kabisa, wana haribu lock za milango, madirisha koki za bomba au kuvunjia mkaa kwenye tiles which is not cool.

# mmoja ali vunja kioo sababu ya upuuzi, akakazana kusema ni bahati mbaya hivyo ana omba msamaha.
(250k waweza isamehe?)
 
Kuna wengine wanapikia mkaa nyumba inakuwa giza kweli, wengine tiles anakuta safi ila siku anaondoka zote unakuta zimepasuka na wengine kwenye kulipa kodi mpaka umtafte dalali aliomleta ndio akulipe kwa manung'uniko na laana juu utasema mlijenga wote.
Uchafu hiki kitu huwa nakataa au sikipendi, au uharibifu usio na msingi.

Nimekumbuka siku nahama somewhere, hadi waliokuwa wananisaidia kutoa vitu, wanauliza hiki choo ulikua unatumia kweli?
😂😂😂😂, sink nimeacha jeupee, tiles zipo km nilivyokuta na zimeng'aa, chumbani nilipaacha pako safi, na usafi nikafanyaa tena, niliacha mazingira mazuri, hata aliyeingia alikuta kila kitu kimenyooka.

Najijua sina fujo, michezo wala masikhara ktk vitu vya watu, pesa ya tahadhari hainihusu.

Usumbufu wa kodi naogopa, mie huwa nafanya top up, pale inapobidi, yaan km miezi imebaki 4, afu kuna hela niko nayo haina bajet, bas naongezea kwa kodi. Sipendi kusumbuana mie, niliwahi shuhudia mtu anazongwa kwa maneno ya kashfa na aibu, mmmh.
Sitaki itokee kwangu.
 
Hii niliikuta Ujerumani. Kule unatoa kodi ya miezi mitatu kama tahadhari landlord anakaa nayo, wenyewe wanaita "Kaution". Siku unapoondoka landlord anakagua nyumba then anakurudishia.

Ila uzuri wa kule hakuna mambo ya kulipa kodi ya miezi sita, unalipa kwa mwezi tu.
Hii system ipo sehemu nyingi sana duniani kama huku ndio inaanza basi wamechelewa sana. Maana jiweke kwenye nafasi ya mwenye nyumba wanakuja watu wanapanga siku wanaondoka wanakuchia kuta nyeusi, misumari kila sehemu huku watoto wamechora kuta... hii ni sawa tu
 
Nje ya mada.
Wenye mamlaka msaidieni huyu dada.kanunua nyumba kumbe ina ugomvi wa talaka .mke kaenda kumtoa kwenye nyumba yake.msaidieni apate HAKI yake
 
Attachments

  • Screenshot_20251012-131116.jpg
    Screenshot_20251012-131116.jpg
    150.7 KB · Views: 22
  • Screenshot_20251012-131132.jpg
    Screenshot_20251012-131132.jpg
    169.2 KB · Views: 28
  • Screenshot_20251012-131400.jpg
    Screenshot_20251012-131400.jpg
    131.9 KB · Views: 26
Maisha yanazidi kua magumu kwa wapangaji kila kukicha.
Kuna kautaratibu naona kanazidi kua ka kawaida kwa wenyenyumba ukienda kupanga kwa mara ya kwanza, wanataka kodi ya mwezi mmoja kama hrla ya taadhali endapo kuna uharibifu utatokea pindi utakapohama, basi iyo hela itacover, na usipotokea, wanadai watarefund.

Ni kama caution money ya shule ya sekondari na vyuoni. Bora ile inarudishwa ila hii ngumu sana maana lazima nyumba itakua na kasoro tu kwa miezi 6 au mwaka utakaoishi.

Huu ni ujambazi mwingine.

Imagine:
-Kodi miezi 6
-Hela ya dalali mwezi 1
-Tahadhari mwezi 1

Kwahiyo jumla miezi 8!

Hivi ni Taadhali, Tahadhali au Taadhari au Tahadhari? Elimu haina mwisho.
Ukivunja mlango wa mtu wewe hela yakurekebisha utaipata wapi? Ndio hiyo ela ya taadhari hapa nilipo kabla sijaamia nilitakiwa kuliwa deposit ya mwezi mmoja na nikalipa. Ikitokea nahama mimi na mwenye nyumba tunakagua vyote kama vipo sawa ela yangu napewa kama kuna uharibifu hiyo ela ndio itagaramia huo uwaribifu nilioufanya kipindi niko hapo
 
Maisha yanazidi kua magumu kwa wapangaji kila kukicha.
Kuna kautaratibu naona kanazidi kua ka kawaida kwa wenyenyumba ukienda kupanga kwa mara ya kwanza, wanataka kodi ya mwezi mmoja kama hrla ya taadhali endapo kuna uharibifu utatokea pindi utakapohama, basi iyo hela itacover, na usipotokea, wanadai watarefund.

Ni kama caution money ya shule ya sekondari na vyuoni. Bora ile inarudishwa ila hii ngumu sana maana lazima nyumba itakua na kasoro tu kwa miezi 6 au mwaka utakaoishi.

Huu ni ujambazi mwingine.

Imagine:
-Kodi miezi 6
-Hela ya dalali mwezi 1
-Tahadhari mwezi 1

Kwahiyo jumla miezi 8!

Hivi ni Taadhali, Tahadhali au Taadhari au Tahadhari? Elimu haina mwisho.
Hii ipo mkuu. Sema kibongo bongo naona malandlord kuturudishia pesa ya security lazima iwe vita, lazima watutafutie sababu ili wabaki nayo
 
Back
Top Bottom