Wenye nyumba mnataka mtumalize sasa. Hela ya Tahadhari Mwezi Mmoja ndio nini sasai?

Wenye nyumba mnataka mtumalize sasa. Hela ya Tahadhari Mwezi Mmoja ndio nini sasai?

siku ya kuhama unatakiwa mwezi mmoja kabla hujahama unampa taarifa huku na yeye akijipanga. nikianza ujenzi wa nyumba zakupangisha ndio formula hii nitatumia. 3 month bank statement na 1 month bond

kwamba kila mwisho wa mwezi nikiwa baa sitaki kusikia mzee unajua sijaenda kazini kwaiyo kodi nivumilie, hii story naimaliza kwa bank statement maana hata asipoenda kazini mshaaara unaingia, mwingine ni mchwa kaamia nyumba mpya baada yakuhama unasema hii nyumba niyamwaka 70 kumbe mteja yeye nikuvunja tuu kila kitu, story hii namaliza na 1 month bond
Dah nime cheka kishenzi 🤣 😂
 
Jenga tu ya kwako mkuu, yaan mm nimejikamua 50 mil kujenga mtu anakuja kupaga unatoboatoboa ukuta unachafua rangi unapasua vigae then kodi ikiisha unataka uondoke kesho yake uniachie marekebisho
 
Uchafu hiki kitu huwa nakataa au sikipendi, au uharibifu usio na msingi.

Nimekumbuka siku nahama somewhere, hadi waliokuwa wananisaidia kutoa vitu, wanauliza hiki choo ulikua unatumia kweli?
😂😂😂😂, sink nimeacha jeupee, tiles zipo km nilivyokuta na zimeng'aa, chumbani nilipaacha pako safi, na usafi nikafanyaa tena, niliacha mazingira mazuri, hata aliyeingia alikuta kila kitu kimenyooka.

Najijua sina fujo, michezo wala masikhara ktk vitu vya watu, pesa ya tahadhari hainihusu.

Usumbufu wa kodi naogopa, mie huwa nafanya top up, pale inapobidi, yaan km miezi imebaki 4, afu kuna hela niko nayo haina bajet, bas naongezea kwa kodi. Sipendi kusumbuana mie, niliwahi shuhudia mtu anazongwa kwa maneno ya kashfa na aibu, mmmh.
Sitaki itokee kwangu.
Chai
 
Labda Tanzania tu hakuna, nchi nyingi hela ya tahadhari nilazima. Watu ni waharibifu wa nyumba vibaya mno na wengine utoroka usiku wakikwepa kulipa kodi
 
Maisha yanazidi kua magumu kwa wapangaji kila kukicha.
Kuna kautaratibu naona kanazidi kua ka kawaida kwa wenyenyumba ukienda kupanga kwa mara ya kwanza, wanataka kodi ya mwezi mmoja kama hrla ya taadhali endapo kuna uharibifu utatokea pindi utakapohama, basi iyo hela itacover, na usipotokea, wanadai watarefund.

Ni kama caution money ya shule ya sekondari na vyuoni. Bora ile inarudishwa ila hii ngumu sana maana lazima nyumba itakua na kasoro tu kwa miezi 6 au mwaka utakaoishi.

Huu ni ujambazi mwingine.

Imagine:
-Kodi miezi 6
-Hela ya dalali mwezi 1
-Tahadhari mwezi 1

Kwahiyo jumla miezi 8!


Hivi ni Taadhali, Tahadhali au Taadhari au Tahadhari? Elimu haina mwisho.
Mnaharibu vitasa, showers nk, alafu unahama kimyakimya kabla nyumba haijakaguliwa nasimu hupokei.

Huo mpango nimzutisana.
 
Tunakoelekea inabidi ianzishwe bodi maalumu ya kushughurikia maswala ya wapangaji na wenye nyumba.

NAona kila mtu anajiamulia anavyoona inafaa.
 
Ulaya, Kenya marekani, Canada, mbona ya kawaida sana!
Inamfanya mpangaji aitunze nyumba, aiheshimu, astaarabike...
 
Nje ya mada.
Wenye mamlaka msaidieni huyu dada.kanunua nyumba kumbe ina ugomvi wa talaka .mke kaenda kumtoa kwenye nyumba yake.msaidieni apate HAKI yake

Unanunuaje nyumba milion 60 kinyemela hvyo.....
 
Maisha yanazidi kua magumu kwa wapangaji kila kukicha.
Kuna kautaratibu naona kanazidi kua ka kawaida kwa wenyenyumba ukienda kupanga kwa mara ya kwanza, wanataka kodi ya mwezi mmoja kama hrla ya taadhali endapo kuna uharibifu utatokea pindi utakapohama, basi iyo hela itacover, na usipotokea, wanadai watarefund.

Ni kama caution money ya shule ya sekondari na vyuoni. Bora ile inarudishwa ila hii ngumu sana maana lazima nyumba itakua na kasoro tu kwa miezi 6 au mwaka utakaoishi.

Huu ni ujambazi mwingine.

Imagine:
-Kodi miezi 6
-Hela ya dalali mwezi 1
-Tahadhari mwezi 1

Kwahiyo jumla miezi 8!


Hivi ni Taadhali, Tahadhali au Taadhari au Tahadhari? Elimu haina mwisho.
Acha kulia lia hio hata mamtoni ipo inaitwa " deposit", inakaa kwa mwenye nyumba kama taharidhi pindi ukitaka kuhama ilipie vitu ulivyoharibu na kama hukuharibu kitu unarudishiwa pesa yako.
 
Maisha yanazidi kua magumu kwa wapangaji kila kukicha.
Kuna kautaratibu naona kanazidi kua ka kawaida kwa wenyenyumba ukienda kupanga kwa mara ya kwanza, wanataka kodi ya mwezi mmoja kama hrla ya taadhali endapo kuna uharibifu utatokea pindi utakapohama, basi iyo hela itacover, na usipotokea, wanadai watarefund.

Ni kama caution money ya shule ya sekondari na vyuoni. Bora ile inarudishwa ila hii ngumu sana maana lazima nyumba itakua na kasoro tu kwa miezi 6 au mwaka utakaoishi.

Huu ni ujambazi mwingine.

Imagine:
-Kodi miezi 6
-Hela ya dalali mwezi 1
-Tahadhari mwezi 1

Kwahiyo jumla miezi 8!


Hivi ni Taadhali, Tahadhali au Taadhari au Tahadhari? Elimu haina mwisho.
Kwa sauti ya mwenye nyumba "mwanangu jenga yako"

😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom