Wenye nyumba mnataka mtumalize sasa. Hela ya Tahadhari Mwezi Mmoja ndio nini sasai?

Wenye nyumba mnataka mtumalize sasa. Hela ya Tahadhari Mwezi Mmoja ndio nini sasai?

Umeshawahi kumiliki nyumba ya kupangisha? Nina mashaka na hilo. Ukiwajua vizuri watanzania wasivyolipa kodi lazima na wewe ungebadilika na kudai kodi ya miezi kadhaa mapema. Labda kama unataka kudaiana madeni na wapangaji walioondoka na madeni tena bila hata kutoa taarifa
Miezi sita ni mingi sana, sio fair. Kama ikibidi basi miezi mitatu tu inatosha.
 
Ukivunja mlango wa mtu wewe hela yakurekebisha utaipata wapi? Ndio hiyo ela ya taadhari hapa nilipo kabla sijaamia nilitakiwa kuliwa deposit ya mwezi mmoja na nikalipa. Ikitokea nahama mimi na mwenye nyumba tunakagua vyote kama vipo sawa ela yangu napewa kama kuna uharibifu hiyo ela ndio itagaramia huo uwaribifu nilioufanya kipindi niko hapo
Nakubali. Ila siku ya mwisho najua itakua vita. Nimepiga picha nyumba nzima nitaona siku ya kuhama.
 
Kuna wapangaji jau.. akitoka, nyumba, chumba ama frem haitamaniki, naunga mkono hilo, ila kwanini ikitokea hakuna uharibifu usirudishiwe hapa ndipo utata unakuja
Ni wazo zuri mchawi implementation. Vitu kama rangi, kutu kwenye mabomba, nk. Ila wale watata wanaopikia jiko la mkaa ndani au kupasua vioo nk sawa hela isirudishwe.
 
Ni wazo zuri mchawi implementation. Vitu kama rangi, kutu kwenye mabomba, nk. Ila wale watata wanaopikia jiko la mkaa ndani au kupasua vioo nk sawa hela isirudishwe.
Yes.. kuna uchakavu na uharibifu hivi vitu viwili vitenganishwe..
Kuna mmoja kwenye frem alikata gypsum board, sijui hata alikuwa anatafuta nini huko, ukuta ukuta una mashimo mashimo ya misumari kama chujio.
 
Hakuna namna, huo ndio utaratibu wa sasa, bahati ni kuwa hiyo system inaenea TZ yote na hasa Dar.

Weka hela ya tahadhari, likitokea jambo mnamalizana bila kusumbuana. Pamoja na ugumu wa maisha lwa wapangaji, kujenga sio mchezo.
 
Hizi hela wapangaji wenyewe hutoa kwa kujipendekeza wenyewe. Hela inayotakiwa kutoa ni kodi ya nyumba tu, toa hiyo hela haitakataliwa, hizi zingine ni wizi tu
 
Sisiemu njooni muwatetee wanachama wenu huku wanalalamika hovyo TU 😂 hela hawana
 
Nakubali. Ila siku ya mwisho najua itakua vita. Nimepiga picha nyumba nzima nitaona siku ya kuhama.
siku ya kuhama unatakiwa mwezi mmoja kabla hujahama unampa taarifa huku na yeye akijipanga. nikianza ujenzi wa nyumba zakupangisha ndio formula hii nitatumia. 3 month bank statement na 1 month bond

kwamba kila mwisho wa mwezi nikiwa baa sitaki kusikia mzee unajua sijaenda kazini kwaiyo kodi nivumilie, hii story naimaliza kwa bank statement maana hata asipoenda kazini mshaaara unaingia, mwingine ni mchwa kaamia nyumba mpya baada yakuhama unasema hii nyumba niyamwaka 70 kumbe mteja yeye nikuvunja tuu kila kitu, story hii namaliza na 1 month bond
 
Maisha yanazidi kua magumu kwa wapangaji kila kukicha.
Kuna kautaratibu naona kanazidi kua ka kawaida kwa wenyenyumba ukienda kupanga kwa mara ya kwanza, wanataka kodi ya mwezi mmoja kama hrla ya taadhali endapo kuna uharibifu utatokea pindi utakapohama, basi iyo hela itacover, na usipotokea, wanadai watarefund.

Ni kama caution money ya shule ya sekondari na vyuoni. Bora ile inarudishwa ila hii ngumu sana maana lazima nyumba itakua na kasoro tu kwa miezi 6 au mwaka utakaoishi.

Huu ni ujambazi mwingine.

Imagine:
-Kodi miezi 6
-Hela ya dalali mwezi 1
-Tahadhari mwezi 1

Kwahiyo jumla miezi 8!


Hivi ni Taadhali, Tahadhali au Taadhari au Tahadhari? Elimu haina mwisho.
Huu ni upumbavu,
Kuchukua kodi ya miezi 6 halafu kudai na pesa ya tahadhari juu ni wizi mtupu, pesa ya tahadhari huwa inawekwa kama mtu analipa mwezi mmoja mmoja.
 
Hii system ipo sehemu nyingi sana duniani kama huku ndio inaanza basi wamechelewa sana. Maana jiweke kwenye nafasi ya mwenye nyumba wanakuja watu wanapanga siku wanaondoka wanakuchia kuta nyeusi, misumari kila sehemu huku watoto wamechora kuta... hii ni sawa tu
Sehemu nyingi duniani kodi huwa I alipewa kwa mwezi mmoja mmoja.
 
siku ya kuhama unatakiwa mwezi mmoja kabla hujahama unampa taarifa huku na yeye akijipanga. nikianza ujenzi wa nyumba zakupangisha ndio formula hii nitatumia. 3 month bank statement na 1 month bond

kwamba kila mwisho wa mwezi nikiwa baa sitaki kusikia mzee unajua sijaenda kazini kwaiyo kodi nivumilie, hii story naimaliza kwa bank statement maana hata asipoenda kazini mshaaara unaingia, mwingine ni mchwa kaamia nyumba mpya baada yakuhama unasema hii nyumba niyamwaka 70 kumbe mteja yeye nikuvunja tuu kila kitu, story hii namaliza na 1 month bond
Dah labda Mbweni mkuu
 
Mkuu huo ni utaratibu kama utaratibu mwingine, usipo kubaliana nao then uko free kwenda pengine.

wengine sio wastaarabu kabisa, wana haribu lock za milango, madirisha koki za bomba au kuvunjia mkaa kwenye tiles which is not cool.

# mmoja ali vunja kioo sababu ya upuuzi, akakazana kusema ni bahati mbaya hivyo ana omba msamaha.
(250k waweza isamehe?)
Kumbe kamanda una mjengo kabisa 😂😂
 
Back
Top Bottom